Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Unatambulishwa bila taratibu halafu huna tatizo na michepuko........Weak.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Pole mkuu,
Hebu kunywa maji ushushe pumzi ndefu kisha upumzike kwenye kivuli.
 
We mwanamke embu kaa chini mshukuru mungu kwa kukutoa uko unakotaka kwenda inawezekana mungu kakuepushia jambo kubwa sana uko mbeleni, baba yangu alinambia usije ukaenda uko kaskazini kuoa kuna shida sana watu wa uko ni shida sana. Jaribu kutulia fanya mambo yako tafuta mtu sahihi ndoa so lele mama
 
Unamuamini mchaga eti mchange Hela mfanye biashara jamani. Duu yaani wewe hukupata hata somo kidogo. Ukiona mchaga ana urafiki na wewe kuna kitu anakitafuta kwako ama unamzidi uwezo ila not otherwise.
 
Hakuna mtanzania asiye mbaguzi isipokuwa mgogo tu!!!!!! Na kabila linaloongoza kwa ubaguzi Tanzania ni WAHAYA!! Wakifuatiwa na wakurya kisha wachagga,
Fact wahaya n'a wachaga ni mwisho wa matatizo
 
Wachagga nao wa matatizo ya kiubaguzi huwa wanaoana wao kwa wao na wapare

Ni upuuzi sana
 
Pole mkuu. Nawajua sana hata ile kununua tu dukani kwako kama sio ndugu yao ni kazi. Kuna muda Nilikuwa nataka kununua vifaa vya kumalizia nyumba Yangu. Nikaenda hapa hardware shops hapa rwagasore Mza, sasa bana nikazama duka moja ivi Kumbe ni mangi. Nikachomoka fasta nikapeleka Hela kwa msukuma.
Hawa dawa yao ni kutonunua hata madukani kwao tuwatenge tuwe na umoja wetu mana wao wanajiona ni another level
 
Usilete uongo humu... Mhaya na mkurya hawana sifa za ubaguzi labda Kama unataka TU kuchangamsha genge
Nili cho gundua hapa nchini watu wengi wana chuki na wahaya kwa umbeya tu wakusikia wengi hawajaka nao ila wanawasema vibaya kwanini? Wahaya hawajawahi kua wabaguzi isipo kua sana lugha na utamaduni wao sio wachoyo isipo kua wanathamani mali zao.....
 
Nilicho gundua hapa nchini watu wengi wana chiki na wahaya kwa umbeya tu wakusikia wengi hajakaa nao ila wanawasema vibaya kwanini? Wahaya hawajawahi kua wabaguzi isipo kua sana lugha na utamaduni wao sio wachoyo isipo kua wanathamani mali zao.....
Kweli kabisaaa Mkuu... Wahaya Ni watu pouwa sana...
 
Hili tatizo za ukabila katika mahusiano,limekubuhu Sana kwa wachaga na wahaya.
 
Usiwasahau wahaya 😂😂
 
Nafikiri tatizo hapo sio uchaga ingekuwa hivyo asingekupeleka kwao, cha msingi kwako sasa hivi ni kutuliza akili, upate muda wa kukaa na marafiki ili kusahau yaliyotokea
 
Hili tatizo za ukabila katika mahusiano,limekubuhu Sana kwa wachaga na wahaya.
Ni kwasababu ya utamaduni wao wanamufuata na kuheshimu, wewe kama sio mhaya utamaduni wao utakupa shida sana labda mishi mjini tu bila kusogeza ndgu na jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…