Kama uliona, kwanini hukumuuliza huyo aliyejibu?Hujajibu swali nililo kuuliza. Jibu lake nimeliona.
Ndiyo maana nikakupa angalizo usije kuuliza tena maswali ambayo umejibiwa
Kingine jitahidi sana uwe mtafiti wa mambo siyo unachukua chukua kisha unajenga hoja kwayo.
Jibu swali nililo kuuliza,nitajie sifa unalets ngonjera.mangapi ambayo hukubaliani na uhalisia wake kutoka dini tofauti na yako?
Lengo ni kuongeza mapenzi yetu kwa Mtume, Mtume (saw) alisema, "Hakuna hata mmoja wenu atakayekuwa na imani mpaka anipende mimi kuliko baba yake, watoto wake na wanadamu wote. .Kwanini mnaadhimisha Maulidi (Mazazi) ya Mtume ?
Mmmh mbona inawezekana kabisa ila inategemea tu alizaa kwa interval ipiUongo..mwanamke wa miaka 40 kuzaa watoto sita..menopause yeye ilikua hammhusu ama?
#MaendeleoHayanaChama
Sababu unauliza maswali ya kijinga kiasi ambacho huonyeshi kama unataka kujua zaidi ya kupotezea watu muda.Kama uliona, kwanini hukumuuliza huyo aliyejibu?
Maana ulitakiwa ushangae kwanini ameonekana kujua nilichokiuliza tafsiri yake anajua mahali nilikopatia hilo swali
Ahsante ndugu. Kwanini hujashangaa ya ADAMU na HAWA, mmoja ameumbwa na mwingine ametoka ubavuni.Uongo..mwanamke wa miaka 40 kuzaa watoto sita..menopause yeye ilikua hammhusu ama?
#MaendeleoHayanaChama
Ndio, mtume wetu alikutana na manabii karibu wote kwenye safari yake ya kwenda Mbinguni, na pia alikutana na nabii Ibrahim, na hadi leo sisi waisilamu tunamtakia rehema nabii Ibrahim kwasababu alimuagiza mtume kutusalimia, hivyo salamu zake tulizipata na tunamuitikia kila baada ya sala.Hivi manabii waliwahi kuonana na kuongea?
Nimekuambia sifa zile zile unazotumia wewe kupinga uhalisia wa habari kutoka kwenye maandiko mengine ya dini tofauti na yako, ndio hizo hizo sifa zinazoweza kutumika kupinga uhalisia wa tukio lolote lile kutoka kwenye dini yakoJibu swali nililo kuuliza,nitajie sifa unalets ngonjera.
Kwani kumpenda mtume ni kufanya ambayo hajayafundisha au kutenda yale aliyo yafundisha ?Lengo ni kuongeza mapenzi yetu kwa Mtume, Mtume (saw) alisema, "Hakuna hata mmoja wenu atakayekuwa na imani mpaka anipende mimi kuliko baba yake, watoto wake na wanadamu wote. .
Kwa minajili ya kupata kujua, kwasababu kaonesha kulielewa swali langu. Go ask himSababu unauliza maswali ya kijinga kiasi ambacho huonyeshi kama unataka kujua zaidi ya kupotezea watu muda.
Kingine,nimuulize aliye jibu kwa minajili gani ?
Kwani hii thread umetoa wew alieandika kasema uliza chochote na icho kinachoulizwa ni chochote kwaiyo maswali ya kejeli unayoyaona hujibiwa kwa fact zile konki muulizaji atakimbia mwenyw ndio maana ya mjadala wa maswali na majibu,,,, NB fatilia mihadhara utaona how Muslim walivo na kejel sio vimaswali by humu ambavy havina kichw wal miguu na unaita kejeli
Zitaje,upingaji wangu na upingajia wako ni ardhi na mbingu hatufanani hata chembe.Nimekuambia sifa zile zile unazotumia wewe kupinga uhalisia wa habari kutoka kwenye maandiko mengine ya dini tofauti na yako, ndio hizo hizo sifa zinazoweza kutumika kupinga uhalisia wa tukio lolote lile kutoka kwenye dini yako
Bi hadija alikuwa mkubwa kwa mtume kwa miaka 15Kwa nini alioa binti mdogo khadja?
Je, hii ni sawa?
Wote wanajibiwa acha uoga na kupandikiza chuki
Sasa nijue mara ngapi ? Hujaona nilipo kwambia kama unauliza maswali ya kijinga maswali ambayo laiti kama ungekuwa unatafakari au kufanya utafiti hata wa kiwango kidogo sana usingeuliza maswali kama unayo uliza.Kwa minajili ya kupata kujua, kwasababu kaonesha kulielewa swali langu. Go ask him
Hili unatakiwa kulifanyia utafiti wa kina japo katika ulimwengu wa kiislamu katika fani ya uhakiki wa habari ni kuwa kauli yenye nguvu ni kuwa Mtume alikuwa na miaka 25 na mama Khadija alikuwa ana miaka 28. Na mapokezi ya miaka 40 hayana nguvu.Bi hadija alikuwa mkubwa kwa mtume kwa miaka 15
Je unaamini kua Mtume (S.A.W.W) alituachi vitu viwili vizito ambavyo ni kitabu cha Mwenyezimungu na watu wa nyumba yake?Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.
Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa babu yake na Muhammad, Mzee Abdul Muttalib, ambaye alikuja, akamchukuwa mikononi mwake, na akampa jina hili la Muhammad.” Lenye maana ya MSIFIWA.
Nawakaribisha kuuliza maswali kuhusu mtume wetu huyu MUHAMMAD "amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake".
View attachment 1975182
Kabla ya mtume uislam haukuwepo mkuu,Baba wa mtume alikuwa akiitwa Abdullah ibn Abd al-Muttalib Alikuwa mtoto wa Abdul-Muttalib ibn Hashim na Fatimah binti Amr wa ukoo wa Makhzum. Hawa walikuwa wakifuata mila za Nabii Ibrahim, bila shaka walikuwa waisilamu
Ni sahihi kabisa, Mtume alituachia vizito viwili (Thaqalaini) tukishikamana navyo hatuta potea. Navyo ni kitabu kitukufu na Ahlulbayt wake, japokuwa kuwafuata Ahlulbayt imechukuliwa sana na upande wa Shia, na kwa upande wa Sunni, inapendelewa hadithi ya mtume kutuachia Qur'an na Hadithi.Je unaamini kua Mtume (S.A.W.W) alituachi vitu viwili vizito ambavyo ni kitabu cha Mwenyezimungu na watu wa nyumba yake?