Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kama uliona, kwanini hukumuuliza huyo aliyejibu?Hujajibu swali nililo kuuliza. Jibu lake nimeliona.
Ndiyo maana nikakupa angalizo usije kuuliza tena maswali ambayo umejibiwa
Kingine jitahidi sana uwe mtafiti wa mambo siyo unachukua chukua kisha unajenga hoja kwayo.
Maana ulitakiwa ushangae kwanini ameonekana kujua nilichokiuliza tafsiri yake anajua mahali nilikopatia hilo swali