A
Anonymous
Guest
Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika.
Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme wanavyojisikia bila ya wananchi kupewa taarifa yeyote na kwa siku wanaweza kukata umeme zaidi ya mara 5 tunaomba pia mtusaidie kuhoji
Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme wanavyojisikia bila ya wananchi kupewa taarifa yeyote na kwa siku wanaweza kukata umeme zaidi ya mara 5 tunaomba pia mtusaidie kuhoji