Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
- Thread starter
-
- #41
Kwanini unakwepa Kodi!?Mwamko haupo kuanzia walipa kodi na wakusanya kodi,, mfano binafsi mimi nakwepa sana kodi,
Watanzania karibu wote hatupendi kodi, mizigo inaandikiwa risit za thamani ndogo, makampuni yanadeclare mapato kidogo kuliko uhalisia,
Mamilioni ya watu wanakwepa kodi, hakuna maadili,
Tamaa ya pesa na kukosa maadili🤷Kwanini unakwepa Kodi!?
Suala siyo wewe kutetea kwamba hazitotosha.Waachie wenyewe walipwe.Unawatoleaje matokeo bila kupitia hali?Jamaa anadhani walimu kwa mfano wakilipwa milioni 5 ndo maisha yatakaa sawa,, uchumi una mambo yake,, ukilipa kima cha chini milioni 5,, elewa sokoni watu wataenda na matoroli ya hela kufanya shopping,,
Fungu la nyanya tatu utanunua 20,000,
Kwenye uchumi lazima pawepo na balancing act,, huwezi kupandisha mishahara for the sake of kupandisha mishahara, kwani gharama automatically zitapanda, kwani cost of production ita skyrocket, na hivyo quality ya maisha itazidi kudidimia,
Kwasababu, unapoongeza mishahara, cost za uzalishaji zinakua juu kwa waajiri, so wao hawafanyi biashara ya huduma, wanataka faida, so watapandisha bei vitu, mfano mbolea, sukari, kiufupi kila kitu kitapanda bei, hivyo hela bado haitatosha na sasa watu watataka kima cha chini kiwe bilioni moja,, bado mzunguko utarudi palepale, HAZITATOSHA😂😂🙆
Fafanua vizuri 2004 dada Angu aliaza na mshahara 40000 idara msingi kwasasa anapokea basic 900000 na zaidi ,unamzungumzia yupi ,huyo mwl ,na ameajiliwa lini na idara ipi kati ya msingi na secondarwalimu wanalipwa 800,000/-
Hakuna mshara chini ya laki sita, wewe unaongelea 1990 huko
Ushasema dada yako,yaani jitu zima unautegemea mshahara wa dada yako?Fafanua vizuri 2004 dada Angu aliaza na mshahara 40000 idara msingi kwasasa anapokea basic 900000 na zaidi ,unamzungumzia yupi ,huyo mwl ,na ameajiliwa lini na idara ipi kati ya msingi na secondar
Uko very emotional hata ukweli huuoniLema ni limbukeni.
Lema anatumika na mabepari wa kibeberu, kuendeleza yale yaliyopo kwenye ilani ya SPG[Society for the Propagation of the Gospel] ambayo ni mkono wa muungano wa mabeberu wanaoamini Afrika inahitaji kuwa ya kitumwa, kutawaliwa,ili kupata maendeleo. Yaani kazi kwa mjeledi na imani, maadili na desturi ngeni.
Lema amekuwa akiwadanganya Wananchi kwa takwimu za kupikwa kutoka nchi anazozitaja na kufanya ulinganishi wa Uchumi, Jamii na Siasa.
Lema amewatukana na kuwakejeli wananchi, amedhihaki Dola. Lema anachachafya Jamii igeuke na kufanya machafuko ndani ya nchi alimradai CHADEMA wanachukua dola aidha kwa kura(ambayo hawachaguliki) au kwa kuleta taharuki na hatimae vurugu kwa kudai wameibiwa kura..
Lema ni hatari kwa Usalama wa Taifa, kwani uchonganishi wake, ni wa Visasi, ati kwa sababu wananchi, bodaboda, wachuuzi hawakuingia barabarani wakati wao wakienda jela kwa makosa na mazingira waliyoya tengeneza. Makosa yao binafsi. Unawezaje kutaka wananchi wavunje sheria za nchi ili waje mahabusu kukutoa?
Lema ndie atakae kuja kuhalalisha matusi Jukwaani na hivyo basi kudumaza na hatimae kutelekeza Siasa safi Nchini. Karibu.
Ha ha ha, emotional ndio nini?Uko very emotional hata ukweli huuoni
Kwahiyo unasema hela zipo au?, Umewahi kujiuliza hapa tunaongelea watumishi gani hasa? Maana wa serikali wapo zaidi kidogo ya 600,000,,Suala siyo wewe kutetea kwamba hazitotosha.Waachie wenyewe walipwe.Unawatoleaje matokeo bila kupitia hali?
Mimi ni mchumi by professional hakuna kitu umeandika hapa ni utumbo mtupuJamaa anadhani walimu kwa mfano wakilipwa milioni 5 ndo maisha yatakaa sawa,, uchumi una mambo yake,, ukilipa kima cha chini milioni 5,, elewa sokoni watu wataenda na matoroli ya hela kufanya shopping,,
Fungu la nyanya tatu utanunua 20,000,
Kwenye uchumi lazima pawepo na balancing act,, huwezi kupandisha mishahara for the sake of kupandisha mishahara, kwani gharama automatically zitapanda, kwani cost of production ita skyrocket, na hivyo quality ya maisha itazidi kudidimia,
Kwasababu, unapoongeza mishahara, cost za uzalishaji zinakua juu kwa waajiri, so wao hawafanyi biashara ya huduma, wanataka faida, so watapandisha bei vitu, mfano mbolea, sukari, kiufupi kila kitu kitapanda bei, hivyo hela bado haitatosha na sasa watu watataka kima cha chini kiwe bilioni moja,, bado mzunguko utarudi palepale, HAZITATOSHA😂😂🙆
Nimesema weka bajeti yako, wewe ni mchumi, weka bajeti based on kipato cha trilion 2 kwa mweziMimi ni mchumi by professional hakuna kitu umeandika hapa ni utumbo mtupu
Askari wote wapo 20k
Waalimu wanaolipwa 400 wapo wangapi?
Tuweke tena makundi 4 wanaolipwa kima hicho cha msharahara jumla yawe makundi 6
Total population tupo 60m
Unaona multiplier effect?
Acha kukurupuka boss ulichoandika ni stor za vijiwe vya mabush lawyer
Anataka wananchi wote wafanyekazi kwenye hiyo mifumo isiyozoeleka?Lema ni disruptor, anatikisa mifumo ya maisha iliyozoeleka kwa mediocres.
Anataka wananchi wote wafanyekazi kwenye hiyo mifumo isiyozoeleka?
Au nikurahisishie kidogo, bodaboda milioni 2, kwa mshahara wa milioni 1.5 kila mmoja, tunahitaji trioni 3. Hapo bado hujaweka mambo ya utalii, waalimu, afya, jeshi, na kadhalika.Mimi ni mchumi by professional hakuna kitu umeandika hapa ni utumbo mtupu
Askari wote wapo 20k
Waalimu wanaolipwa 400 wapo wangapi?
Tuweke tena makundi 4 wanaolipwa kima hicho cha msharahara jumla yawe makundi 6
Total population tupo 60m
Unaona multiplier effect?
Acha kukurupuka boss ulichoandika ni stor za vijiwe vya mabush lawyer
Vicoba, Mamanitilie.Mpaka sasa kazi aliyoiongelea ni bodaboda tu, sasa wewe ukisema wananchi wote unamaanisha nini??
Vicoba, Mamanitilie.
Anaitingisha 'mifumo hiyo iliyozoeleka' akiwa na lengo gani?Mpaka sasa kazi aliyoiongelea ni bodaboda tu, sasa wewe ukisema wananchi wote unamaanisha nini??
Amesema ni kazi ya udhalilishaji,, inatakiwa hotelia, siyo mamantilie,, yaani wanatakiwa wamiliki macdonald, subway, KFC😂😂VICOBA sio kazi, amesemaje kuhusu mama ntilie??
Amesema ni kazi ya udhalilishaji,, inatakiwa hotelia, siyo mamantilie,, yaani wanatakiwa wamiliki macdonald, subway, KFC[emoji23][emoji23]