Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Ni mwenda wazimu tu ndiye asiye andaa urithi kwa wanae Ila wenye akili siku zote wanaandaa mazingira mazuri ya wanae,kilicho kujaa wewe ni shida na umasikini wako anacho kifanya Ridhi ni kusimamia mali za wazazi wake na anafanya vzr,mtoa post acha wivu Kama wewe huna urithi kwa wanao,ujue hata mwenda zake anamiliki makampuni makubwa kama ya manyanga contraction,Ranchi,migodi na kiwanda Cha maziwa na mengi meng,ni upumbavu kuwa Kama nyerere,hujaona Ben alichomoka na baypot?
 
Andiko zuri la kufikirisha! Samia anafaa kujitenga na hiyo familia kwa maslahi mapana ya nchi
 
Bora Kikwete.

Magufuli na Nyerere wameingiza ndugu zao kwenye serikali, Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini, pia alimchukua Butiku binamu yake kuwa katibu wake wa Ikulu
Magufuli alimchukua Binamu yake na kumkabidhi ubosi wa hazina

Magufuli is gone and not coming back.

Hasara aliyotutia kwa miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu inatosha, uonevu, siasa za kununua watu, ubambikiziaji watu kesi, uvurugaji chaguzi, kutoheshimu katiba, mambo ya magenge ya watu wasiojulikana, kutolipa stahiki halali za wafanyakazi, sheria kandamizi vyote hivi inabidi tuvireverse
Miradi mkuu iache kama ilivyo.
Sisi tunaovukia Busisi ndo tunajua adha ya pale,unaweza kaa hata masaa kadhaa ukisubili Phantom ije, na bado unabaki.
Nyie wala chips wanaume wa Dar hamuwezi jua hii.
Yapo ya kumlaaum siyo miradi yote.
 
Ni mwenda wazimu tu ndiye asiye andaa urithi kwa wanae Ila wenye akili siku zote wanaandaa mazingira mazuri ya wanae,kilicho kujaa wewe ni shida na umasikini wako anacho kifanya Ridhi ni kusimamia mali za wazazi wake na anafanya vzr,mtoa post acha wivu Kama wewe huna urithi kwa wanao,ujue hata mwenda zake anamiliki makampuni makubwa kama ya manyanga contraction,Ranchi,migodi na kiwanda Cha maziwa na mengi meng,ni upumbavu kuwa Kama nyerere,hujaona Ben alichomoka na baypot?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amechomoka na Baypot anawatoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa mwanadamu kuongea ni kaburini hakuna uongozi ambao haujawahi kuzushiwa maneno,hakuna uongozi ambao h auna madhaifu alipokuwa Mwinyi walisema bora Nyerere alipoingia Mkapa waliita (ukapa) wakasema bora Mwinyi kadhalika Kikwete wakasema bora yule Mkapa baada ya kikwete alikuja chuma wakasema bora Misri ya Kikwete Chuma kimeondoka wanasema bora mama....mama akiondoka ndiyo hulka ya binadamu kuongea ongea
 
Unaemlaumu aligusa maslahi yako wapi,tuanzie hapo kwanza.
 
Huku awamu yake bwana yule tukishuhudia Mwendazake akipiga pesa kupitia Co. Ya MAYANGA.

Mambo ni yale yale
Ndugu yangu unajua kila mmoja anapalilia ulaji wake, ili upendwe na wananchi jali maisha yao kwanza ikiwemo kurahisisha maisha ya kupata mkate wa kila siku. Japo kwa hili watu hawaoni, maana wachache awamu ya 5 walitupiga balaa tena wakawa kiburi, kejeli na dharau
 
Bora Kikwete.

Magufuli na Nyerere wameingiza ndugu zao kwenye serikali, Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini, pia alimchukua Butiku binamu yake kuwa katibu wake wa Ikulu
Magufuli alimchukua Binamu yake na kumkabidhi ubosi wa hazina

Magufuli is gone and not coming back.

Hasara aliyotutia kwa miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu inatosha, uonevu, siasa za kununua watu, ubambikiziaji watu kesi, uvurugaji chaguzi, kutoheshimu katiba, mambo ya magenge ya watu wasiojulikana, kutolipa stahiki halali za wafanyakazi, sheria kandamizi vyote hivi inabidi tuvireverse
miladi isiyo nakichwa wala miguu!!!!

una uhakika kwamba si wewe ndio huna kicwa wala miguu kaka??
kuweks ndugu serikalini sio kosa,kosa ni kama hawako na sifa za kuwa hapo.
hao ndugu na watoto wa jk walikosa sifa za kuwepo walipokuwepo.
 
Vumilieni tu sukuma gang Kama wengine walivyokuwa wanauchukia utawala wa Mungu wenu wa Chato lakini Waliuvumilia mpaka pale Mungu aliposikia kilio Chao.

Sasa ni wakati wenu wakuishi Kama mashetani .
taja sukuma moja inayoishi kama shetani.

wasukuma sio wakwere mama.
 
Miradi mkuu iache kama ilivyo.
Sisi tunaovukia Busisi ndo tunajua adha ya pale,unaweza kaa hata masaa kadhaa ukisubili Phantom ije, na bado unabaki.
Nyie wala chips wanaume wa Dar hamuwezi jua hii.
Yapo ya kumlaaum siyo miradi yote.
amelewa pombe bila msosi huyo anaropoka tu.

eti miladi isiyo na kichwa,wakati rais wake anayejipendekeza kwake haonyeshi dalili yoyote ya kuachana nayo.
 
Mungu wa wasukuma keshatembea punguzeni kulia kulia mumuache mama na genge lake nao wale keki ya taifa
 
Back
Top Bottom