Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Aliwaumiza sana hivyo siwalaumu uchungu waliopata wanaujua wao.ndio maana tunawashangaa BAWACHA na UFIPA wanaposhangilia kifo cha jpm,na bila kujitambua wanaingizwa kwenye kundi la msoga,wakati chama lao pia linakwenda shimoni.