Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

ndio maana tunawashangaa BAWACHA na UFIPA wanaposhangilia kifo cha jpm,na bila kujitambua wanaingizwa kwenye kundi la msoga,wakati chama lao pia linakwenda shimoni.
Aliwaumiza sana hivyo siwalaumu uchungu waliopata wanaujua wao.
 
Aliwaumiza sana hivyo siwalaumu uchungu waliopata wanaujua wao.
walitaka wenyewe.haiingii akilini unatangaza vita hujajiandaa.
cheki chama kilivyofanywa,yaani hapa kimebaki kupambania hali yake ya ndani kuliko kingekuwa kinahangaika na matatizo ya nchi.

tukiwaasa kuacha lugha mbaya kwa viongozi,wanasema hatujasoma.acha wapambane na ndugai kwanza.
 
walitaka wenyewe.haiingii akilini unatangaza vita hujajiandaa.
cheki chama kilivyofanywa,yaani hapa kimebaki kupambania hali yake ya ndani kuliko kingekuwa kinahangaika na matatizo ya nchi.

tukiwaasa kuacha kugha mbaya kwa viongozi,wanasema hatujasoma.acha wapambane na ndugai kwanza.
Mungua shafanya yake wasilaumiwe kushagilia
 
Mungua shafanya yake wasilaumiwe kushagilia
[emoji16][emoji16]hakuna anayelaumu,tunawashangaa tu.

kifo chake kinawapa faida gani wao,maana chama hakina dalili ya uhai tena.
 
[emoji16][emoji16]hakuna anayelaumu,tunawashangaa tu.

kifo chake kinawapa faida gani wao,maana chama hakina dalili ya uhai tena.
Hawakamatwi kamatwi wala kuwekwa ndanj kwa kesi za ovyo na za kubumba. Hata Nyalandu karudi baada ya aliyemkimbia kuondoka
 
Hawakamatwi kamatwi wala kuwekwa ndanj kwa kesi za ovyo na za kubumba. Hata Nyalandu karudi baada ya aliyemkimbia kuondoka
unaona mitizamo yenu ilivyo ya hovyo!!!
kwamba nyarandu alikimbia utemi[emoji16][emoji16]
vipi huko pia kakimbia utemi au nini??

kushikwa hovyo hovyo inategemea unafanya siasa zipi,safi au majitaka.
mpaka saa hizi hajatokeza mpinzani yeyote akajitanabaisha kwamba yeye ni kichaa asiyeogopa kama lissu,hata lissu mwenyewe bado hana uhakika kama anahitaji kufanya zile siasa zake bado au aendelee na mambo mengine.
 
Vumilieni tu sukuma gang Kama wengine walivyokuwa wanauchukia utawala wa Mungu wenu wa Chato lakini Waliuvumilia mpaka pale Mungu aliposikia kilio Chao.

Sasa ni wakati wenu wakuishi Kama mashetani .
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
unaona mitizamo yenu ilivyo ya hovyo!!!
kwamba nyarandu alikimbia utemi[emoji16][emoji16]
vipi huko pia kakimbia utemi au nini??

kushikwa hovyo hovyo inategemea unafanya siasa zipi,safi au majitaka.
mpaka saa hizi hajatokeza mpinzani yeyote akajitanabaisha kwamba yeye ni kichaa asiyeogopa kama lissu,hata lissu mwenyewe bado hana uhakika kama anahitaji kufanya zile siasa zake bado au aendelee na mambo mengine.
Kwani wadhani alikimbia nini, mbona hata video zipo viongozi wa ccm wakiwatishia kuwaua hata wapinzani na hizo zilikuwa siasa safi? Mbona hawakushikwa 😅😅😅
Mkuu mimi na wewe twabishana nini sasa unajua kazi ya Mungu haina makosa.
After all sote njia ni moja huenda kesho au the next minute I will be doomed.
 
Afadhali ya Kikwete Mara milioni kuliko ibilisi .
Ibilidi mkubwa alikuwa Mkapa. Yeye ndiye rais wa Kwanza kufanya biashara ikulu, yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kununua wapinzani na kudhoofisha Demokrasia, yeye ndiye aliyeasisi ufisadi Kagoda , deep green , meremeta etc. Yeye ndiye aliyetuletea Kikwete ingawa alikuwa na watu wengi Safi akiwemo Ahmed Salim, yeye ndiye aliyemleta Magufuri na kuwa mentor wake. Kale kazee kanischt sana. Najua Mwl.alijilaumu sana kukaamini
 
Kwani wadhani alikimbia nini, mbona hata video zipo viongozi wa ccm wakiwatishia kuwaua hata wapinzani na hizo zilikuwa siasa safi? Mbona hawakushikwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu mimi na wewe twabishana nini sasa unajua kazi ya Mungu haina makosa.
After all sote njia ni moja huenda kesho au the next minute I will be doomed.
haaya mkuu,nakuagiza kuzichunguza siasa za tz kwa utulivu.

utamuelewa jpm,labda siku moja baadae sana kabla hujatimiza kanuni hii ya asili.
 
Andiko zuri la kufikirisha! Samia anafaa kujitenga na hiyo familia kwa maslahi mapana ya nchi
Nina uhakika kwa 1000000% unaongea kwa kutumia maneno ya vichochoroni, na kama nakusingizia, nijibu hapa "Familia ya Kikwete ina-influence vipi urais wa Samia? Unaweza kutoa mfano wa jambo moja?"
 
kwa namna gani hiyo breki afungwe? ila kama haya yaemawayo si kweli basi tunamuumiza sana huyu mzee ukute hana hata hizo nguvu mnazompa mtandaoni
Haha [emoji23][emoji38] shauri yake..!
 
Miradi mkuu iache kama ilivyo.
Sisi tunaovukia Busisi ndo tunajua adha ya pale,unaweza kaa hata masaa kadhaa ukisubili Phantom ije, na bado unabaki.
Nyie wala chips wanaume wa Dar hamuwezi jua hii.
Yapo ya kumlaaum siyo miradi yote.
Busisi ipi wengine pia Ni wa huko. Sijawahi kusubiri Panton masaa kadhaa tangu niwe na fahamu
 
Busisi ipi wengine pia Ni wa huko. Sijawahi kusubiri Panton masaa kadhaa tangu niwe na fahamu
kwahiyo utalinganisha pantoni na mwendo wa gari!!!

kwani tatizo lenu huwa ni ubongo au chakula duni???
 
sisi tunatizama uelekeo wa taifa.
nyinyi mnatizama matumbo yenu,ndio maana unawaza kula raha muda wote.
Will you lecture us on mwelekeo wa taifa now? Ulikuwa wapi wakati wa magufuli ambaye alibomoa kila walipojenga watangulizi wake. Ulikuwa wapi wakati analibaka taifa letu waziwazi? Don't lecture us on mwelekeo wa Taifa
 
alibomoa kitu gani akaanza kujenga chake??

chadema au?
 
walitaka wenyewe.haiingii akilini unatangaza vita hujajiandaa.
cheki chama kilivyofanywa,yaani hapa kimebaki kupambania hali yake ya ndani kuliko kingekuwa kinahangaika na matatizo ya nchi.

tukiwaasa kuacha lugha mbaya kwa viongozi,wanasema hatujasoma.acha wapambane na ndugai kwanza.
Which Ndugai?? Kama aishivyo Mungu wa mbinguni hatoboi.
 
Back
Top Bottom