Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 233
- 541
Ni mwenda wazimu tu ndiye asiye andaa urithi kwa wanae Ila wenye akili siku zote wanaandaa mazingira mazuri ya wanae,kilicho kujaa wewe ni shida na umasikini wako anacho kifanya Ridhi ni kusimamia mali za wazazi wake na anafanya vzr,mtoa post acha wivu Kama wewe huna urithi kwa wanao,ujue hata mwenda zake anamiliki makampuni makubwa kama ya manyanga contraction,Ranchi,migodi na kiwanda Cha maziwa na mengi meng,ni upumbavu kuwa Kama nyerere,hujaona Ben alichomoka na baypot?