Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 233
- 541
Miradi mkuu iache kama ilivyo.Bora Kikwete.
Magufuli na Nyerere wameingiza ndugu zao kwenye serikali, Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini, pia alimchukua Butiku binamu yake kuwa katibu wake wa Ikulu
Magufuli alimchukua Binamu yake na kumkabidhi ubosi wa hazina
Magufuli is gone and not coming back.
Hasara aliyotutia kwa miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu inatosha, uonevu, siasa za kununua watu, ubambikiziaji watu kesi, uvurugaji chaguzi, kutoheshimu katiba, mambo ya magenge ya watu wasiojulikana, kutolipa stahiki halali za wafanyakazi, sheria kandamizi vyote hivi inabidi tuvireverse
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amechomoka na Baypot anawatotoNi mwenda wazimu tu ndiye asiye andaa urithi kwa wanae Ila wenye akili siku zote wanaandaa mazingira mazuri ya wanae,kilicho kujaa wewe ni shida na umasikini wako anacho kifanya Ridhi ni kusimamia mali za wazazi wake na anafanya vzr,mtoa post acha wivu Kama wewe huna urithi kwa wanao,ujue hata mwenda zake anamiliki makampuni makubwa kama ya manyanga contraction,Ranchi,migodi na kiwanda Cha maziwa na mengi meng,ni upumbavu kuwa Kama nyerere,hujaona Ben alichomoka na baypot?
Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini
Tuanze kwanza na Mayanga Construction iliyojipa tenda zote za ujenzi huku mwanaeJoseph akiwa msimamizi mkuuBwashee ina maana pamoja na ile biashara ya kuuza sembe jamaa alikuwa na makampuni mengine? Aliposemaga anaishi "kimjinimjini" mi nikadhani ilikuwa ni hiyo biashara ya unga tu.
Ndugu yangu unajua kila mmoja anapalilia ulaji wake, ili upendwe na wananchi jali maisha yao kwanza ikiwemo kurahisisha maisha ya kupata mkate wa kila siku. Japo kwa hili watu hawaoni, maana wachache awamu ya 5 walitupiga balaa tena wakawa kiburi, kejeli na dharauHuku awamu yake bwana yule tukishuhudia Mwendazake akipiga pesa kupitia Co. Ya MAYANGA.
Mambo ni yale yale
uongozi sio siasa.Mbona kama una chuki binafsi na mkwere!
Viongozi wote wa nchi hii watoto zao walingizwa na wapo kwenye uongozi
Ova
miladi isiyo nakichwa wala miguu!!!!Bora Kikwete.
Magufuli na Nyerere wameingiza ndugu zao kwenye serikali, Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini, pia alimchukua Butiku binamu yake kuwa katibu wake wa Ikulu
Magufuli alimchukua Binamu yake na kumkabidhi ubosi wa hazina
Magufuli is gone and not coming back.
Hasara aliyotutia kwa miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu inatosha, uonevu, siasa za kununua watu, ubambikiziaji watu kesi, uvurugaji chaguzi, kutoheshimu katiba, mambo ya magenge ya watu wasiojulikana, kutolipa stahiki halali za wafanyakazi, sheria kandamizi vyote hivi inabidi tuvireverse
taja sukuma moja inayoishi kama shetani.Vumilieni tu sukuma gang Kama wengine walivyokuwa wanauchukia utawala wa Mungu wenu wa Chato lakini Waliuvumilia mpaka pale Mungu aliposikia kilio Chao.
Sasa ni wakati wenu wakuishi Kama mashetani .
Nyie endeleeni kugombania keki ya taifa wenyewe kwa wenyewe.....sie watazamaji tu, na tunaendelea kupambana na hali zetu.Naunga mkono hoja.
Kikwete ni Disaster kwa nchi Tanzania.! Afungwe breki.
amelewa pombe bila msosi huyo anaropoka tu.Miradi mkuu iache kama ilivyo.
Sisi tunaovukia Busisi ndo tunajua adha ya pale,unaweza kaa hata masaa kadhaa ukisubili Phantom ije, na bado unabaki.
Nyie wala chips wanaume wa Dar hamuwezi jua hii.
Yapo ya kumlaaum siyo miradi yote.
Mahangaiko ya Nini Sasa?taja sukuma moja inayoishi kama shetani.
wasukuma sio wakwere mama.
sisi tunatizama uelekeo wa taifa.Mahangaiko ya Nini Sasa?
Kama ibilisi nikiongoziwako basi we utaenda motoni tu.Afadhali ya Kikwete Mara milioni kuliko ibilisi .