sisi tunatizama uelekeo wa taifa.
nyinyi mnatizama matumbo yenu,ndio maana unawaza kula raha muda wote.
endelea kula raha,kazi nyingine ziache.Uelekeo upi wa taifa?
Msitusumbue kama mnampenda sana mwendazake mfuateniendelea kula raha,kazi nyingine ziache.
tumfuate tanzania aliyoipigania tuewachie nyinyi panya wa town???Msitusumbue kama mnampenda sana mwendazake mfuateni
Alipigania nini? Hao unaowaita panya ndiyo tayari wako mjengoni na wanachomoa wanaweka mwingine.tumfuate tanzania aliyoipigania tuewachie nyinyi panya wa town???
panya wako mjengoni toka lini[emoji23][emoji23][emoji23].Alipigania nini? Hao unaowaita panya ndiyo tayari wako mjengoni na wanachomoa wanaweka mwingine.
Hakuna anayeipigania Tanzania ni kuwa brainwashed tu na neno uzalendo.
Toa bashiru, toa pole pole, toa huyu weka huyu.panya wako mjengoni toka lini[emoji23][emoji23][emoji23].
hakuna panya mjengoni,ila wanahaha kutafuta upenyo wajiingine.bahati mbaya watu wameshtuka kwamba bila falsafa za mwendazake hakuna kitu kitakwenda.
HAKUNA FISADI ALIYEWAHI KUTOKEA TANZANIA KAMA MWENDA ZAKE.panya wako mjengoni toka lini[emoji23][emoji23][emoji23].
hakuna panya mjengoni,ila wanahaha kutafuta upenyo wajiingine.bahati mbaya watu wameshtuka kwamba bila falsafa za mwendazake hakuna kitu kitakwenda.
bashiru ni mbunge asiye na jimbo nikupe hesabu zake kwa mwezi???au unazoToa Bashiru, toa pole pole, toa huyu weka huyu.
Jana tulikuwa Kenya ndugu, hapa watujengee fasta plant ya LNG tupate ahueni ya gas kwa matumizi ya ndani.
Njoo tumjadili Ndungai kwenye TV usijifiche huko kama enzi za mwendazake mkuu. [emoji28]
neno fisadi sio kabila kwamba ni la kudumu,waulize chadema watakupa mfano wa nyarandu na lowassa.HAKUNA FISADI ALIYEWAHI KUTOKEA TANZANIA KAMA MWENDA ZAKE.
Naunga mkono hoja. Mwendazake alikuwa to"lipyoto".Bora Kikwete.
Magufuli na Nyerere wameingiza ndugu zao kwenye serikali, Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini, pia alimchukua Butiku binamu yake kuwa katibu wake wa Ikulu
Magufuli alimchukua Binamu yake na kumkabidhi ubosi wa hazina
Magufuli is gone and not coming back.
Hasara aliyotutia kwa miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu inatosha, uonevu, siasa za kununua watu, ubambikiziaji watu kesi, uvurugaji chaguzi, kutoheshimu katiba, mambo ya magenge ya watu wasiojulikana, kutolipa stahiki halali za wafanyakazi, sheria kandamizi vyote hivi inabidi tuvireverse
Kutoka kuwa katibu mkuu mpaka kuwa mbunge wa kuteuliwa,bashiru ni mbunge asiye na jimbo nikupe hesabu zake kwa mwezi???au unazo
hamfrey ni mbunge nikupe hesabu zake kwa mwezi??au unazo
ndugai kasema wabunge 19 wako mikono salama,una ljngjne la kujadili au jnasubiri tamko la bavicha ukaprintie tishirt???
pambana na hali yako kamanda.
Uzuri ni kwamba hii nchi imeongozwa na CCM tuneno fisadi sio kabila kwamba ni la kudumu,waulize chadema watakupa mfano wa nyarandu na lowassa.
sijui kama ulikuwa umezaliwa kipindi hicho.
unazungumzia cheo[emoji16][emoji16].Kutoka kuwa katibu mkuu mpaka kuwa mbunge wa kuteuliwa,
Nguvu zake kiutendaji zimepanda zimeshuka?
Hiyo ndiyo nachomoa naweka wapya.
Ndiyo hivyo tena Mungu ashafanya yake nani wa kupinga hata ukipinga matokro yanabaki vile vile.
Karibu chai ya rangi kwa carrot mkuu.
Ndiyo tayari yakhee wanavuliwa sasa wale waliokuwa wakiitwa ma komredi wanapewa ma konkodi.unazungumzia cheo[emoji16][emoji16].
umesahau cheo ni koti,linavuliwa muda na saa yoyote tu??
Mkuu punguza sauti!!.Naunga mkono hoja.
Kikwete ni Disaster kwa nchi Tanzania.! Afungwe breki.
ndio maana tunawashangaa BAWACHA na UFIPA wanaposhangilia kifo cha jpm,na bila kujitambua wanaingizwa kwenye kundi la msoga,wakati chama lao pia linakwenda shimoni.Uzuri ni kwamba hii nchi imeongozwa na CCM tu