Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Alipigania nini? Hao unaowaita panya ndiyo tayari wako mjengoni na wanachomoa wanaweka mwingine.
Hakuna anayeipigania Tanzania ni kuwa brainwashed tu na neno uzalendo.
panya wako mjengoni toka lini[emoji23][emoji23][emoji23].

hakuna panya mjengoni,ila wanahaha kutafuta upenyo wajiingine.bahati mbaya watu wameshtuka kwamba bila falsafa za mwendazake hakuna kitu kitakwenda.
 
Toa bashiru, toa pole pole, toa huyu weka huyu.
Jana tulikuwa Kenya ndugu, hapa watujengee fasta plant ya LNG tupate ahueni ya gas kwa matumizi ya ndani.
Njoo tumjadili Ndungai kwenye TV usijifiche huko kama enzi za mwendazake mkuu. 😅
 
Toa Bashiru, toa pole pole, toa huyu weka huyu.
Jana tulikuwa Kenya ndugu, hapa watujengee fasta plant ya LNG tupate ahueni ya gas kwa matumizi ya ndani.
Njoo tumjadili Ndungai kwenye TV usijifiche huko kama enzi za mwendazake mkuu. [emoji28]
bashiru ni mbunge asiye na jimbo nikupe hesabu zake kwa mwezi???au unazo

hamfrey ni mbunge nikupe hesabu zake kwa mwezi??au unazo

ndugai kasema wabunge 19 wako mikono salama,una ljngjne la kujadili au jnasubiri tamko la bavicha ukaprintie tishirt???
pambana na hali yako kamanda.
 
HAKUNA FISADI ALIYEWAHI KUTOKEA TANZANIA KAMA MWENDA ZAKE.
neno fisadi sio kabila kwamba ni la kudumu,waulize chadema watakupa mfano wa nyarandu na lowassa.

sijui kama ulikuwa umezaliwa kipindi hicho.
 
Bora Kikwete.

Magufuli na Nyerere wameingiza ndugu zao kwenye serikali, Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini, pia alimchukua Butiku binamu yake kuwa katibu wake wa Ikulu
Magufuli alimchukua Binamu yake na kumkabidhi ubosi wa hazina

Magufuli is gone and not coming back.

Hasara aliyotutia kwa miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu inatosha, uonevu, siasa za kununua watu, ubambikiziaji watu kesi, uvurugaji chaguzi, kutoheshimu katiba, mambo ya magenge ya watu wasiojulikana, kutolipa stahiki halali za wafanyakazi, sheria kandamizi vyote hivi inabidi tuvireverse
Naunga mkono hoja. Mwendazake alikuwa to"lipyoto".
 
bashiru ni mbunge asiye na jimbo nikupe hesabu zake kwa mwezi???au unazo

hamfrey ni mbunge nikupe hesabu zake kwa mwezi??au unazo

ndugai kasema wabunge 19 wako mikono salama,una ljngjne la kujadili au jnasubiri tamko la bavicha ukaprintie tishirt???
pambana na hali yako kamanda.
Kutoka kuwa katibu mkuu mpaka kuwa mbunge wa kuteuliwa,
Nguvu zake kiutendaji zimepanda zimeshuka?
Hiyo ndiyo nachomoa naweka wapya.
Ndiyo hivyo tena Mungu ashafanya yake nani wa kupinga hata ukipinga matokro yanabaki vile vile.
Karibu chai ya rangi kwa carrot mkuu.
 
neno fisadi sio kabila kwamba ni la kudumu,waulize chadema watakupa mfano wa nyarandu na lowassa.

sijui kama ulikuwa umezaliwa kipindi hicho.
Uzuri ni kwamba hii nchi imeongozwa na CCM tu
 
Kutoka kuwa katibu mkuu mpaka kuwa mbunge wa kuteuliwa,
Nguvu zake kiutendaji zimepanda zimeshuka?
Hiyo ndiyo nachomoa naweka wapya.
Ndiyo hivyo tena Mungu ashafanya yake nani wa kupinga hata ukipinga matokro yanabaki vile vile.
Karibu chai ya rangi kwa carrot mkuu.
unazungumzia cheo[emoji16][emoji16].
umesahau cheo ni koti,linavuliwa muda na saa yoyote tu??
 
unazungumzia cheo[emoji16][emoji16].
umesahau cheo ni koti,linavuliwa muda na saa yoyote tu??
Ndiyo tayari yakhee wanavuliwa sasa wale waliokuwa wakiitwa ma komredi wanapewa ma konkodi.
Karibu tunywe chai mkuu watanzania sote ni ndugu.
 
Uzuri ni kwamba hii nchi imeongozwa na CCM tu
ndio maana tunawashangaa BAWACHA na UFIPA wanaposhangilia kifo cha jpm,na bila kujitambua wanaingizwa kwenye kundi la msoga,wakati chama lao pia linakwenda shimoni.
 
Back
Top Bottom