Aliwaumiza sana hivyo siwalaumu uchungu waliopata wanaujua wao.ndio maana tunawashangaa BAWACHA na UFIPA wanaposhangilia kifo cha jpm,na bila kujitambua wanaingizwa kwenye kundi la msoga,wakati chama lao pia linakwenda shimoni.
walitaka wenyewe.haiingii akilini unatangaza vita hujajiandaa.Aliwaumiza sana hivyo siwalaumu uchungu waliopata wanaujua wao.
Mungua shafanya yake wasilaumiwe kushagiliawalitaka wenyewe.haiingii akilini unatangaza vita hujajiandaa.
cheki chama kilivyofanywa,yaani hapa kimebaki kupambania hali yake ya ndani kuliko kingekuwa kinahangaika na matatizo ya nchi.
tukiwaasa kuacha kugha mbaya kwa viongozi,wanasema hatujasoma.acha wapambane na ndugai kwanza.
[emoji16][emoji16]hakuna anayelaumu,tunawashangaa tu.Mungua shafanya yake wasilaumiwe kushagilia
Hawakamatwi kamatwi wala kuwekwa ndanj kwa kesi za ovyo na za kubumba. Hata Nyalandu karudi baada ya aliyemkimbia kuondoka[emoji16][emoji16]hakuna anayelaumu,tunawashangaa tu.
kifo chake kinawapa faida gani wao,maana chama hakina dalili ya uhai tena.
unaona mitizamo yenu ilivyo ya hovyo!!!Hawakamatwi kamatwi wala kuwekwa ndanj kwa kesi za ovyo na za kubumba. Hata Nyalandu karudi baada ya aliyemkimbia kuondoka
[emoji122][emoji122][emoji122]Vumilieni tu sukuma gang Kama wengine walivyokuwa wanauchukia utawala wa Mungu wenu wa Chato lakini Waliuvumilia mpaka pale Mungu aliposikia kilio Chao.
Sasa ni wakati wenu wakuishi Kama mashetani .
Kwani wadhani alikimbia nini, mbona hata video zipo viongozi wa ccm wakiwatishia kuwaua hata wapinzani na hizo zilikuwa siasa safi? Mbona hawakushikwa 😅😅😅unaona mitizamo yenu ilivyo ya hovyo!!!
kwamba nyarandu alikimbia utemi[emoji16][emoji16]
vipi huko pia kakimbia utemi au nini??
kushikwa hovyo hovyo inategemea unafanya siasa zipi,safi au majitaka.
mpaka saa hizi hajatokeza mpinzani yeyote akajitanabaisha kwamba yeye ni kichaa asiyeogopa kama lissu,hata lissu mwenyewe bado hana uhakika kama anahitaji kufanya zile siasa zake bado au aendelee na mambo mengine.
Ibilidi mkubwa alikuwa Mkapa. Yeye ndiye rais wa Kwanza kufanya biashara ikulu, yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kununua wapinzani na kudhoofisha Demokrasia, yeye ndiye aliyeasisi ufisadi Kagoda , deep green , meremeta etc. Yeye ndiye aliyetuletea Kikwete ingawa alikuwa na watu wengi Safi akiwemo Ahmed Salim, yeye ndiye aliyemleta Magufuri na kuwa mentor wake. Kale kazee kanischt sana. Najua Mwl.alijilaumu sana kukaaminiAfadhali ya Kikwete Mara milioni kuliko ibilisi .
haaya mkuu,nakuagiza kuzichunguza siasa za tz kwa utulivu.Kwani wadhani alikimbia nini, mbona hata video zipo viongozi wa ccm wakiwatishia kuwaua hata wapinzani na hizo zilikuwa siasa safi? Mbona hawakushikwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu mimi na wewe twabishana nini sasa unajua kazi ya Mungu haina makosa.
After all sote njia ni moja huenda kesho au the next minute I will be doomed.
Nina uhakika kwa 1000000% unaongea kwa kutumia maneno ya vichochoroni, na kama nakusingizia, nijibu hapa "Familia ya Kikwete ina-influence vipi urais wa Samia? Unaweza kutoa mfano wa jambo moja?"Andiko zuri la kufikirisha! Samia anafaa kujitenga na hiyo familia kwa maslahi mapana ya nchi
[emoji23]🥱Mkuu punguza sauti!!.
Haha [emoji23][emoji38] shauri yake..!kwa namna gani hiyo breki afungwe? ila kama haya yaemawayo si kweli basi tunamuumiza sana huyu mzee ukute hana hata hizo nguvu mnazompa mtandaoni
Sawa kila mtu ashinde mechi zake..!Nyie endeleeni kugombania keki ya taifa wenyewe kwa wenyewe.....sie watazamaji tu, na tunaendelea kupambana na hali zetu.
Busisi ipi wengine pia Ni wa huko. Sijawahi kusubiri Panton masaa kadhaa tangu niwe na fahamuMiradi mkuu iache kama ilivyo.
Sisi tunaovukia Busisi ndo tunajua adha ya pale,unaweza kaa hata masaa kadhaa ukisubili Phantom ije, na bado unabaki.
Nyie wala chips wanaume wa Dar hamuwezi jua hii.
Yapo ya kumlaaum siyo miradi yote.
kwahiyo utalinganisha pantoni na mwendo wa gari!!!Busisi ipi wengine pia Ni wa huko. Sijawahi kusubiri Panton masaa kadhaa tangu niwe na fahamu
Will you lecture us on mwelekeo wa taifa now? Ulikuwa wapi wakati wa magufuli ambaye alibomoa kila walipojenga watangulizi wake. Ulikuwa wapi wakati analibaka taifa letu waziwazi? Don't lecture us on mwelekeo wa Taifasisi tunatizama uelekeo wa taifa.
nyinyi mnatizama matumbo yenu,ndio maana unawaza kula raha muda wote.
alibomoa kitu gani akaanza kujenga chake??Will you lecture us on mwelekeo wa taifa now? Ulikuwa wapi wakati wa magufuli ambaye alibomoa kila walipojenga watangulizi wake. Ulikuwa wapi wakati analibaka taifa letu waziwazi? Don't lecture us on mwelekeo wa Taifa
Kuimba kupokezana.endelea kula raha,kazi nyingine ziache.
Which Ndugai?? Kama aishivyo Mungu wa mbinguni hatoboi.walitaka wenyewe.haiingii akilini unatangaza vita hujajiandaa.
cheki chama kilivyofanywa,yaani hapa kimebaki kupambania hali yake ya ndani kuliko kingekuwa kinahangaika na matatizo ya nchi.
tukiwaasa kuacha lugha mbaya kwa viongozi,wanasema hatujasoma.acha wapambane na ndugai kwanza.