Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Tuache haya mambo Kikwete sio Rais Tena, tulia.
 
kwahiyo utalinganisha pantoni na mwendo wa gari!!!

kwani tatizo lenu huwa ni ubongo au chakula duni???
Nani amelinganisha gari na mwendo wa Panton? Mbona unahamisha magoli? Tunazungumzia vipaumbele vya taifa kulingana na needs versus wants, tunazungumzia ability versus capacity!
 
Nani amelinganisha gari na mwendo wa Panton? Mbona unahamisha magoli? Tunazungumzia vipaumbele vya taifa kulingana na needs versus wants, tunazungumzia ability versus capacity!
tukiwaita mbuzi mnapanick.
 
taja sukuma moja inayoishi kama shetani.

wasukuma sio wakwere mama.
Kumbe chanzo cha mapambio yote haya kipo hapa! Sikupata kufikiria hapo!!!!

Nyie watu mna matatizo sana... tatizo lenu ni pale mlipodhani Urais wa Magufuli ni Wasukuma wote na mlikuwa na wajibu wa kuulinda, kuutetea, na kuuipigania kiasi cha mwendawazimu mmoja kuhamasisha Wasukuma wenzake kufanya hayo!

Kazi mnayo...
 
Kama hujui hata kimoja alichobomoa unaongelea mwelekeo wa taifa gani? Yaani mie nianze kunionyesha vitu nawe una macho?
sasa hujui hata alichobomoa.sisi tunajua alivyokenga.

shida ni ya nani hapo??
 
kwani leo hii magufuli kawa msukuma!!!

ni wasukuma wangapi wamepata shavu kwenye utawala wake??mpaka uishie kuhitimisha tuliamini urais wa magufuli ni wa wasukuma wote??

mimi ni mhehe wa iringa.
 
kwani leo hii magufuli kawa msukuma!!!

ni wasukuma wangapi wamepata shavu kwenye utawala wake??mpaka uishie kuhitimisha tuliamini urais wa magufuli ni wa wasukuma wote??

mimi ni mhehe wa iringa.
Sizungumzii kupata shavu, nazungumzia Wasukuma walivyojipanga kutetea ya JPM hadi Askofu Rashid kufikia kuhamasiaha Wasukuma wautetee urais wake!!!

Na asilimia kubwa ya wapiga mapambio hapa wala sio wafuasi wa CCM ambao nawaheshimu kwa sababu wana wajibu wa kutetea kiongozi anayetokana na chama chao lakini wengi wao wanatetea kwa sababu tu ya ukabila na ukanda!!!
 
Nina uhakika kwa 1000000% unaongea kwa kutumia maneno ya vichochoroni, na kama nakusingizia, nijibu hapa "Familia ya Kikwete ina-influence vipi urais wa Samia? Unaweza kutoa mfano wa jambo moja?"
Kwanza wewe ni kilaza. Hakuna probability zaidi ya 100% na ikiwa ni 100% maana yake event will happen, hivyo umeboa. Unajua nani alipendekeza Samia awe mgombea mwenza 2015?
 
Kwa mtazamo wangu,magufuli ndio mharibifu wa nchi hii.hivi Sasa anampa ugumu Raisi aliyeko madarakani aanzie wapi?kwenye Ajira usiseme,malipo ya wastaafu shida nk nk.
 
Kwanza wewe ni kilaza. Hakuna probability zaidi ya 100% na ikiwa ni 100% maana yake event will happen, hivyo umeboa. Unajua nani alipendekeza Samia awe mgombea mwenza 2015?
Hivi una akili kweli wewe?! Kwahiyo kama alipendekeza Samia awe ndo mgombea inakuwa ndo nini hasa? Au pia unatakiwa kukumbushwa ni JK huyo huyo ndie alibebwa na Mzee wa Msoga hadi akapata nafasi ya kugombea?
 
nimekwambia mimi ni mhehe wa iringa,najua utabisha ili ku suit hisia zako.nahusiana nini na ukanda wa magufuli???

kwa misimamo,matamko,na hata maamuzi ya jpm,unadhani ni msukuma gani atasimama mbele za watu asijivunie usukuma wake!!!au hukuwepo enzi za hayari sokoine na wamasai???
 
Chuki binafsi.
Raisi bora utoka kwenye fani ya biashara, uchumi au sheria.Raisi akiwa na mawazo ya kibiashara lazima nchi ipae.Hawezi kuwa na mambo ya kuanza kuiba kwanza ashibe yeye kwanza,au kuwataka matajiri wawe masikini,kupora pesa za watu bank au kwenye bureau de change au kufukuza Wawekezaji au kukomoa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…