mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
kuna tulia pale chini,kunywa maji mengi mkuu.Which Ndugai?? Kama aishivyo Mungu wa mbinguni hatoboi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna tulia pale chini,kunywa maji mengi mkuu.Which Ndugai?? Kama aishivyo Mungu wa mbinguni hatoboi.
Nani amelinganisha gari na mwendo wa Panton? Mbona unahamisha magoli? Tunazungumzia vipaumbele vya taifa kulingana na needs versus wants, tunazungumzia ability versus capacity!kwahiyo utalinganisha pantoni na mwendo wa gari!!!
kwani tatizo lenu huwa ni ubongo au chakula duni???
Kama hujui hata kimoja alichobomoa unaongelea mwelekeo wa taifa gani? Yaani mie nianze kunionyesha vitu nawe una macho?alibomoa kitu gani akaanza kujenga chake??
chadema au?
tukiwaita mbuzi mnapanick.Nani amelinganisha gari na mwendo wa Panton? Mbona unahamisha magoli? Tunazungumzia vipaumbele vya taifa kulingana na needs versus wants, tunazungumzia ability versus capacity!
Kumbe chanzo cha mapambio yote haya kipo hapa! Sikupata kufikiria hapo!!!!taja sukuma moja inayoishi kama shetani.
wasukuma sio wakwere mama.
sasa hujui hata alichobomoa.sisi tunajua alivyokenga.Kama hujui hata kimoja alichobomoa unaongelea mwelekeo wa taifa gani? Yaani mie nianze kunionyesha vitu nawe una macho?
kwani leo hii magufuli kawa msukuma!!!Kumbe chanzo cha mapambio yote haya kipo hapa! Sikupata kufikiria hapo!!!!
Nyie watu mna matatizo sana... tatizo lenu ni pale mlipodhani Urais wa Magufuli ni Wasukuma wote na mlikuwa na wajibu wa kuulinda, kuutetea, na kuuipigania kiasi cha mwendawazimu mmoja kuhamasisha Wasukuma wenzake kufanya hayo!
Kazi mnayo...
Sizungumzii kupata shavu, nazungumzia Wasukuma walivyojipanga kutetea ya JPM hadi Askofu Rashid kufikia kuhamasiaha Wasukuma wautetee urais wake!!!kwani leo hii magufuli kawa msukuma!!!
ni wasukuma wangapi wamepata shavu kwenye utawala wake??mpaka uishie kuhitimisha tuliamini urais wa magufuli ni wa wasukuma wote??
mimi ni mhehe wa iringa.
Kwanza wewe ni kilaza. Hakuna probability zaidi ya 100% na ikiwa ni 100% maana yake event will happen, hivyo umeboa. Unajua nani alipendekeza Samia awe mgombea mwenza 2015?Nina uhakika kwa 1000000% unaongea kwa kutumia maneno ya vichochoroni, na kama nakusingizia, nijibu hapa "Familia ya Kikwete ina-influence vipi urais wa Samia? Unaweza kutoa mfano wa jambo moja?"
Kwa mtazamo wangu,magufuli ndio mharibifu wa nchi hii.hivi Sasa anampa ugumu Raisi aliyeko madarakani aanzie wapi?kwenye Ajira usiseme,malipo ya wastaafu shida nk nk.Bora Kikwete.
Magufuli na Nyerere wameingiza ndugu zao kwenye serikali, Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini, pia alimchukua Butiku binamu yake kuwa katibu wake wa Ikulu
Magufuli alimchukua Binamu yake na kumkabidhi ubosi wa hazina
Magufuli is gone and not coming back.
Hasara aliyotutia kwa miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu inatosha, uonevu, siasa za kununua watu, ubambikiziaji watu kesi, uvurugaji chaguzi, kutoheshimu katiba, mambo ya magenge ya watu wasiojulikana, kutolipa stahiki halali za wafanyakazi, sheria kandamizi vyote hivi inabidi tuvireverse
Hivi una akili kweli wewe?! Kwahiyo kama alipendekeza Samia awe ndo mgombea inakuwa ndo nini hasa? Au pia unatakiwa kukumbushwa ni JK huyo huyo ndie alibebwa na Mzee wa Msoga hadi akapata nafasi ya kugombea?Kwanza wewe ni kilaza. Hakuna probability zaidi ya 100% na ikiwa ni 100% maana yake event will happen, hivyo umeboa. Unajua nani alipendekeza Samia awe mgombea mwenza 2015?
Sizungumzii kupata shavu, nazungumzia Wasukuma walivyojipanga kutetea ya JPM hadi Askofu Rashid kufikia kuhamasiaha Wasukuma wautetee urais wake!!!
Na asilimia kubwa ya wapiga mapambio hapa wala sio wafuasi wa CCM ambao nawaheshimu kwa sababu wana wajibu wa kutetea kiongozi anayetokana na chama chao lakini wengi wao wanatetea kwa sababu tu ya ukabila na ukanda!!!
Bora ya Kikwete mara bilioni kadhaa kuliko aliyepita.....Afadhali ya Kikwete Mara milioni kuliko ibilisi .