Miradi mkuu iache kama ilivyo.
Sisi tunaovukia Busisi ndo tunajua adha ya pale,unaweza kaa hata masaa kadhaa ukisubili Phantom ije, na bado unabaki.
Nyie wala chips wanaume wa Dar hamuwezi jua hii.
Yapo ya kumlaaum siyo miradi yote.
kenge b#aba yako.Pole mkuu. Wewe ni Busisi tu umevuka? Watu wa rufiji wao wasemeje, je wale wa Malagarasi! Msijifanye aliyefanya kazi nchi hii ni huyu kenge wenu peke yake. Miongoni mwa watu wachache wa kuheshimiwa hasa kwa kuboresha miundo mbinu na kuifungua mikoa ya nchi hii ni Kikwete. Madhaifu yake yapo ila hayaifikii ya mwenda zake.
Huo mzoga wenu vilevile haukutakiwa kuwa rais.miladi isiyo nakichwa wala miguu!!!!
una uhakika kwamba si wewe ndio huna kicwa wala miguu kaka??
kuweks ndugu serikalini sio kosa,kosa ni kama hawako na sifa za kuwa hapo.
hao ndugu na watoto wa jk walikosa sifa za kuwepo walipokuwepo.
Huko busisi wanaishi watu?Miradi mkuu iache kama ilivyo.
Sisi tunaovukia Busisi ndo tunajua adha ya pale,unaweza kaa hata masaa kadhaa ukisubili Phantom ije, na bado unabaki.
Nyie wala chips wanaume wa Dar hamuwezi jua hii.
Yapo ya kumlaaum siyo miradi yote.
sasa alishika urais na bado was£nge was£nge wote mliufyata.Huo mzoga wenu vilevile haukutakiwa kuwa rais.
wamehama wote wameenda ufipa.Huko busisi wanaishi watu?
Tuanze kwanza na Mayanga Construction iliyojipa tenda zote za ujenzi huku mwanaeJoseph akiwa msimamizi mkuu
Yes,kikwete uwezi kumfananisha na shetani mwendazakeAfadhali ya Kikwete Mara milioni kuliko ibilisi .
Au una utoto ama ni kilaza. Sahihisha kwanza jibu lako. Kaulize wanaojua uhusiano kati ya JK na Samia wewe. Acha papalaHivi una akili kweli wewe?! Kwahiyo kama alipendekeza Samia awe ndo mgombea inakuwa ndo nini hasa? Au pia unatakiwa kukumbushwa ni JK huyo huyo ndie alibebwa na Mzee wa Msoga hadi akapata nafasi ya kugombea?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] neno hili "LIPYOTO" kwa mara ya kwanza nililisikia Mtwara. Kule wanalitumia nahisi wakimaanisha mpumbavu au usiyejielewa.Naunga mkono hoja. Mwendazake alikuwa to"lipyoto".
Kati ya Mimi na anayeliwa na funza muda huu nani ameufyata.?sasa alishika urais na bado was£nge was£nge wote mliufyata.
Acha kashifa dadangu, jibu swali nililokuuliza, or else, syfu kwa sababu hapa hatuongelei habari za vichochoroni!!Au una utoto ama ni kilaza. Sahihisha kwanza jibu lako. Kaulize wanaojua uhusiano kati ya JK na Samia wewe. Acha papala
kenge b#aba yako.
tukifikiri kipuuzi kama wewe namna hii,hakuna kitu kitafanyika.
tusijenge miundombinu kisa watumishi watakosa nyongeza!!!vipi na uchumi utaendaje bila miundombinu??
jk mmeo mwenyewe alikiri kwamba kwa uwezo wa jpm alionelea ni vyema ampeleke vuzara ile akasimamie hiyo miradi,unaleta upunga hapa.
wewe ndio uko kwenye maumivu ndugu pole,sisi tuliishalia tukamaliza,si unaona unavyomtukana marehemu na aliishajifia[emoji23][emoji23](stress).Pole mkuu. Najua maumivu unayopitia, jitahidi ni suala la muda tu yatapoa. Una uchungu sana kiasi kwamba hata nilichoandika hujakielewa. Narudia tena, huyu ndugu yako ni chini ya miezi mitatu tu tangia aondoke na hakuna anayemkumbuka lolote juu yake. Sana sana tunayaona maisha mapya baada ya yeye na tunayafurahia.
Muache hii tabia ya kufikiri Mungu wenu aliondoa rushwa, alichokifanya ni kuifanya rushwa ikawa inaliwa na wachache hasa ndugu na marafiki zake.
wewe ambaye bado una kiwewe naye.Kati ya Mimi na anayeliwa na funza muda huu nani ameufyata.?