Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,471
- 2,891
Pole mkuu. Wewe ni Busisi tu umevuka? Watu wa rufiji wao wasemeje, je wale wa Malagarasi! Msijifanye aliyefanya kazi nchi hii ni huyu kenge wenu peke yake. Miongoni mwa watu wachache wa kuheshimiwa hasa kwa kuboresha miundo mbinu na kuifungua mikoa ya nchi hii ni Kikwete. Madhaifu yake yapo ila hayaifikii ya mwenda zake.
Miradi mkuu iache kama ilivyo.
Sisi tunaovukia Busisi ndo tunajua adha ya pale,unaweza kaa hata masaa kadhaa ukisubili Phantom ije, na bado unabaki.
Nyie wala chips wanaume wa Dar hamuwezi jua hii.
Yapo ya kumlaaum siyo miradi yote.