ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Usitutishe,jpm was an animalHujui ulisemalo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitutishe,jpm was an animalHujui ulisemalo..
We mwenyewe upo kundi hilo la kingdom animalia... mmetofautiana tu phylum na class zenu.... Hamjui mlisemalo hakika.Usitutishe,jpm was an animal
Angalia kumbukumbu zako vizuri. Yule drug dealer Shkuba kakamatwa mwaka 2014 wakati JK akiwa Rais. Ila kasafirishwa mwaka 2016 kwenda USA kujibu mashtaka na anatumikia kifungoKikwete Urais wake ulikuwa wa ubia na familia na rafiki zake wakina 'ShKubar"!! Kama ataruhusiwa kuturudisha huko kutatokea backlash kubwa kutoka kwa wananchi na Samia hata kuwa salama na utawala wake!!
hata jpm mwanzo aliambiwa hivi,alipokuja kubadiri gia angani.msoga hawakuwahi kuamini.Ndugu yangu utajipatia vidonda vya tumbo tu bure kwa stress za kujitakia. Hii nchi tayari imesharudi tena kwenye mikono ya Kikwete. Mama SSH yupo Ikulu lakini nchi inaongozwa kutokea "Msoga", Chalinze.
Wewe kuwa tu mpole, kama paja la kuku wa Taifa liko karibu nawe, jimegee kipande ule ufurahie maisha. Kama uko mbali nalo jisogeze karibu, ukishindwa, basi vumilia.
wewe ndio uko kwenye maumivu ndugu pole,sisi tuliishalia tukamaliza,si unaona unavyomtukana marehemu na aliishajifia[emoji23][emoji23](stress).
hakuna kiongozi aliyeweza kutokomeza kila uovu kwa 100%hata kule kwa durtete bado unga unauzwa.ila tunasifu nia yake ya kuutokomeza.
shida ni nyinyi nguruwe,mnaojaribu kusema hakuna alichofanya,hata tukitaka tuache muandike mnachojiskia bado hamtaweza kuuficha ukweli huo.
Unajifanya wewe mwenyewe ndo unauchungu sana na hii nchi kuliko wengine.Kama mlijisahau mkafikiri hii nchi ni mali yenu imekula kwenu.kwahiyo punguza huo uzwazwa uko kichwani.sisi tunatizama uelekeo wa taifa.
nyinyi mnatizama matumbo yenu,ndio maana unawaza kula raha muda wote.
Na Nyànza Road umeisahauHuku awamu yake bwana yule tukishuhudia Mwendazake akipiga pesa kupitia Co. Ya MAYANGA.
Mambo ni yale yale
Kwa huyo mama SSH ukimtazama vizuri unaona kuna sura ya kubadili gia angani?hata jpm mwanzo aliambiwa hivi,alipokuja kubadiri gia angani.msoga hawakuwahi kuamini.
Ina kazi ya kuhara tuHakuna jambo jepesi JF kama kuifahamu Misukule ya Jiwe!!
Yaani inatapatapa hiyo... hadi inatia huruma!!
Ulimboka alitekwa na nani?Whether Kikwette yuko na SSH au Rais SSH ana tumia falsafa ya JK basi Watanzania tujipige kifua mara 5, tuseme TAIFA liko kwenye mikono salama.
Kikwette aliichukua nchi kwa BWM na akaifanyia mema mengi sana na mengine ni haya ambayo Mwendazake alikuwa analazimisha kuwa ni ya kwake. Kikwette mtu wa watu, hakujangaika kuteka na kuua WAKOSOAJI.
Whether kulikuwa na ufisadi kama inavyodaiwa lakini watu walikuwa na hela na furaha mitaani.
Long live KIKWETTE
kisemo cha Kingunge.... Huyu Mtu alifaa kuwa NyaparaMagufuli alikuwa the Worst President of Tanzania ever