Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Whether Kikwette yuko na SSH au Rais SSH ana tumia falsafa ya JK basi Watanzania tujipige kifua mara 5, tuseme TAIFA liko kwenye mikono salama.

Kikwette aliichukua nchi kwa BWM na akaifanyia mema mengi sana na mengine ni haya ambayo Mwendazake alikuwa analazimisha kuwa ni ya kwake. Kikwette mtu wa watu, hakuhangaika kuteka na kuua WAKOSOAJI.

Whether kulikuwa na ufisadi kama inavyodaiwa lakini watu walikuwa na hela na furaha mitaani.

Long live KIKWETTE
 
Ndugu yangu utajipatia vidonda vya tumbo tu bure kwa stress za kujitakia. Hii nchi tayari imesharudi tena kwenye mikono ya Kikwete. Mama SSH yupo Ikulu lakini nchi inaongozwa kutokea "Msoga", Chalinze.
Wewe kuwa tu mpole, kama paja la kuku wa Taifa liko karibu nawe, jimegee kipande ule ufurahie maisha. Kama uko mbali nalo jisogeze karibu, ukishindwa, basi vumilia.
 
Kikwete Urais wake ulikuwa wa ubia na familia na rafiki zake wakina 'ShKubar"!! Kama ataruhusiwa kuturudisha huko kutatokea backlash kubwa kutoka kwa wananchi na Samia hata kuwa salama na utawala wake!!
Angalia kumbukumbu zako vizuri. Yule drug dealer Shkuba kakamatwa mwaka 2014 wakati JK akiwa Rais. Ila kasafirishwa mwaka 2016 kwenda USA kujibu mashtaka na anatumikia kifungo
 
Ndugu yangu utajipatia vidonda vya tumbo tu bure kwa stress za kujitakia. Hii nchi tayari imesharudi tena kwenye mikono ya Kikwete. Mama SSH yupo Ikulu lakini nchi inaongozwa kutokea "Msoga", Chalinze.
Wewe kuwa tu mpole, kama paja la kuku wa Taifa liko karibu nawe, jimegee kipande ule ufurahie maisha. Kama uko mbali nalo jisogeze karibu, ukishindwa, basi vumilia.
hata jpm mwanzo aliambiwa hivi,alipokuja kubadiri gia angani.msoga hawakuwahi kuamini.
 
Hapa ndipo mnapokosea mkuu, kwanza ni lazima mjifunze kuheshimu maoni ya watu bila kujali yako upande wenu ama la. Hili ni jambo baya la kifalsafa alilowaachia mwenda zake na msipojitathimin na kujirudi itawatesa sana. Nchi hii haikujengwa kwenye misingi ya roho mbaya na chuki ila kwa kipindi cha mwenda zake haya yalikuwa wazi kabisa na bahati mbaya waliyoyaonyesha kwa bidii ndio waliopata tunuku. Mimi binafsi sina shida na mwenda zake na kwa hakika nina machache mazuri juu yake. Haya hayawezi kunifanya nisiyaseme yaliyokuwa mabaya kwa nia nzuri kabisa kwamba tusirudi huko kama ambavyo kwa yale mazuri tunataka yaendelee na kuzidi.

Shida kubwa iko kwako ambaye baada ya huyu kipenzi chako kuondoka hutaki kukubali ameondoka na ameondoka na falsafa zake. Bado unatamani kumuona mama SSH akiwa na mtazamo uleule wa ndugu yako hata kwa yale yasiyofaa.
Hivi mpaka sasa kosa la SSH ni nini amefanya? Je ni kusema uhuru wa mawazo urudi? Ama kutuondolea VPN katika matumizi ya twiter? Au kusema tukusanye kodi kiweledi na tuache unyang'anyi na ujambazi kwa kigezo cha kukusanya kodi?

Haya ndio iliyokuwa furaha ya mwenda zake na kwa sababu hiyo wafuasi wake mmefungwa pia katika minyororo hii.
Ruhusu fikra mpya ili maisha yaendelee vinginevyo mtapata mateso yasiyo ya lazima.
wewe ndio uko kwenye maumivu ndugu pole,sisi tuliishalia tukamaliza,si unaona unavyomtukana marehemu na aliishajifia[emoji23][emoji23](stress).

hakuna kiongozi aliyeweza kutokomeza kila uovu kwa 100%hata kule kwa durtete bado unga unauzwa.ila tunasifu nia yake ya kuutokomeza.

shida ni nyinyi nguruwe,mnaojaribu kusema hakuna alichofanya,hata tukitaka tuache muandike mnachojiskia bado hamtaweza kuuficha ukweli huo.
 
Mtatapatapa sana ila ukweli mchungu ni kwamba angalau sasa nchi imepumua.Nchi imetua mzigo mzito iliyokua imeubeba.Hizo porojo zako nyingine ni zakawaida sana tu kwa nyie msio na akili pana zakuangalia mambo kwa mapana ndo maana mnaishia kujadili mambo ya kuunga unga uchochoroni.Pole ndugu.
 
sisi tunatizama uelekeo wa taifa.
nyinyi mnatizama matumbo yenu,ndio maana unawaza kula raha muda wote.
Unajifanya wewe mwenyewe ndo unauchungu sana na hii nchi kuliko wengine.Kama mlijisahau mkafikiri hii nchi ni mali yenu imekula kwenu.kwahiyo punguza huo uzwazwa uko kichwani.
 
Mbona kama chuki fulani hivi? hao maraisi ambao sio wafanya biashara wameisaidia nini nchi? nchi ni masikini miaka 60 ya uhuru, Wananchi wanahitaji raisi na viongozi wote wa juu na wachini wawe wafanya biashara ili wasihongeke, hawa ambao wamezoea kuajiriwa wakiona pesa kidogo wanazuzuka. Viongozi wafanya biashara huwezi wadanganya na pesa kwani wanajua namna ya kutafuta pesa, wamezoea pesa wanajua namna ya kuwekeza pesa. wanajua namna ya kujadiliana kwenye mikataba na kusoma na kusikiliza number.
 
Whether Kikwette yuko na SSH au Rais SSH ana tumia falsafa ya JK basi Watanzania tujipige kifua mara 5, tuseme TAIFA liko kwenye mikono salama.

Kikwette aliichukua nchi kwa BWM na akaifanyia mema mengi sana na mengine ni haya ambayo Mwendazake alikuwa analazimisha kuwa ni ya kwake. Kikwette mtu wa watu, hakujangaika kuteka na kuua WAKOSOAJI.

Whether kulikuwa na ufisadi kama inavyodaiwa lakini watu walikuwa na hela na furaha mitaani.

Long live KIKWETTE
Ulimboka alitekwa na nani?
 
Back
Top Bottom