ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja.
Wakati Cr7 akiwa kwenye sofa na remote sitting room nyumbani kwao mwenzake huko Qatar anaibeba timu yake kwenda Fainali za Kombe la Dunia.
Tumekuwa tukiwaambia huyu ndiye La Pulga kiumbe toka sayari nyingine na baado yupo sana tu!
Mwamba huyu hapa.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app