Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Wengi ambao huwa tupo upande wa CR7 huwa tunalijua hilo ila ni mapenzi tu
Ni kama kuna watu tupo kwenye ukiristo lakini tunajua dini ya kweli ni uislam
Kuna siku nilikuwa nawaonesha madogo crip za youtube za Ronaldo na Messi baada ya madogo kumaliza kuangalia wakaniambia Messi ni balaa sana,wakaniuliza watu wanaosema Cr7 ni mkali huwa wanaangalia nini,niliumia moyoni ila nilipiga kimya tu