Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

Kwan ni dhambi kufunga penalt?
Sio dhambi, lakini angefanya hivyo CR7 angeitwa Penaldo ila kwa Messi hawezi kuitwa Penssi kama dhihaka ambayo angedhihakiwa Ronaldo
 
We jamaa unaongelea past,most of us hatukuepo kipindi Cha Pele . Now tunamuona mchezaji Bora before our eyes, NOW. Messi tunamuona NOW kwenye hiki kizazi chetu mnashindwa kumu enjoy NOW Kwa kuletea story za Pele,kweli? Messi mpira upo kichwani brother,he is 35 lakini anacheza kama mara ya kwanza nilipomuona. Ronaldo anajituma na alikua fit,now hayupo fiti ndio maana kiwango kimepungua ila Messi mpira upo kichwani mwake,mwili wake ni kama means tu lakini mpura wote anaucheza kichwani.

Nashkuru nipo kwenye wakati huu the GOAT yupo,ipo kizazi kitakuja kumuongelea huyu mtu kama wewe unavomuongelea Pele. Messi sio mchezaji wa kumuongelea anacheza vp,ni mchezaji wa kumuangalia anavocheza na kuenjoy soka lake. Nikimuangalia Messi hua na enjoy bila hata ya kufunga au kUfanya assist. Messi is just Messi Hana description.
Acha Uvivu sio lazima uwepo kipindi hicho ? unadhani mimi nilikuwepo 1958..., angalia videos angalia vipi mpira umebadilika angalia bias ya kipindi hicho n.k. Huwezi ukaongelea Greatest of All time alafu Ukachagua Time za kufanya huo uchambuzi

Miaka mingapi imepita mpaka leo na bado kuna records zake, unategemea ni rahisi kwa kijana wa miaka 17 kuweza kusaidia nchi yake kuchukua Kombe ?

Mpaka leo unadhani nani ameweza kushinda makombe 3 ya Dunia ?
 
Mnakuza mno huyo Pele ili kumdunisha Messi..
Jaribu kuongea na FIFA wafute records zake au Youtube waondoe Videos zake.., umeongelea Stats nimekupa Stats sasa unataka nini ?
 
Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja.

Wakati Cr7 akiwa kwenye sofa na remote sitting room nyumbani kwao mwenzake huko Qatar anaibeba timu yake kwenda Fainali za Kombe la Dunia.

Tumekuwa tukiwaambia huyu ndiye La Pulga kiumbe toka sayari nyingine na baado yupo sana tu!

Mwamba huyu hapa.

View attachment 2445987

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Tatizo la wabongo Kuna ugonjwa fulani unatusumbua.Yaan mtu akifunga goli au akicheza vizuri ,atapewa sifa zote kama vile hatujawahi kuona wachezaji wengine wazuri.Hata hapa nyumbani tu.Kuna mchezaji anaitwa Chama au Morrison wakicheza vizuri yaan sifa zinakuwa nyingi sana kuliko mchezaji mwenyewe.Utasikia hapa bongo haijawahi kutokea mchezaji Kama huyu.Yaan upumbavu mtupu.So far sijaona ubora wa Messi .Yaan ni Kama kubahatisha tu.Ukiwaona Croatia ni wazuri sana kuliko Messi na Argentina.Aidha kwa umri wangu nimeona Maradona akicheza mpira.Sioni Kama Messi anamfikia.Kama Messi ndio bora basi tumerudi nyuma sana.
 
Pele alifunga magoli mengi ya offside
Duh ungeongelea Poacher kama kina Owen ambao wanakaa mbele na ku-poach magoli ningekuelewa ingawa offside rules zimebadilika sio necessarily kwa advantage ye defenders kumbuka pele alikuwa anatoka na mpira kutokea kati (yaani ana-drop) pia Pele alikuwa man marked (yaani zile wanasema huyu tumekukabidhi hata akienda kunywa maji nenda nae) man to man marking...

Pele was a Complete Player tofauti na wengine wana weaknesses... (yeye ni dribbler, yupo fit left / right leg, na headers) vile vile ana pace... ngoja hapo chini nikupe article alivyonunuliwa na Cosmos nitaku-tag....,
 
Magoli matano aliyofunga messi manne ni penalty
Kwani penalty sio magoli kawaulize wachezaji wa japan, spain na Brazil wakuambie jinsi ilivyo kazi kuzifunga hizo penalty.

Huyo GOAT wako Ronaldo kwenye carrier yake amefunga magoli mengi ya penalty kuliko messi na bado kazidiwa magoli.
 
Kina Owen angalau Sheria ya offside ilikuwepo...wakati wa Pele hata offside haikuwepo ...alijifungia migoli tele
 
Messi mmeanza kumtizama lini Messi ndio ni moja kati ya wechezaji Bora wa Dunia lakin Kwa nyakati hizi kashuka sana Messi wa miaka ya 2011 alikua anauwezo wakufunga hadi Goli 90+ Kwa msimu mmoja ila Kwa miaka ya hivi karibuni hafiki Hata Goli 50 Kwa msimu lakini bado tunampa proud kubwa ivi msimu huu sizani hata kafika Goli 30
 
The Boss

What makes Pelé, the uncrowned king of soccer, so much better than other stars?

The 34‐year‐old Brazilian, who is scheduled to sign a multi‐million dollar contract with the New York Cosmos today, has physical and mental qualities which he calls, “God's divine gifts.”

Medical tests have revealed that Pelé's heart when he is training, beats 56 to 58 times a minute. The heart of an average athlete in training beats 90 to 95 times a minute. Pelé's aerobic capacity is such that he can repeat a great effort within 45 to 60 seconds. His peripheral vision is 30 per cent greater than that of the average athlete.

Leonardo da Vinci once sketched a man with his arms stretched in a circle to show the perfect proportions of man's body. Peld seems to fit the mold.
Pelé's feet are parallel and the bone in his heel is exceptionally strong and developed, which forces him to bend forward as he runs and serves as a shock absorber after a jump or a high kick. It also helps his quickness.

A few years ago medical experts examined Pelé's slim, athletic figure for weeks in a university laboratory. They prodded him, wired his head for readings, measured his muscles and his mind and when they finished they announced: “Whatever this man might have decided to do in any physical or mental endeavor, he would have been a genius.”

But the man who never finished fourth grade, shrugs off such tests. He is a devout Catholic and is convinced that his talent is, “The gift from God and the willingness to be a perfectionist,” he said.

“I feel the divine gift to make something out of nothing,” he said. “You need balance and speed of mind and strength there is something else hat God has given me. It's an extra instinct I haves for the game. Sometimes I can take the ball and no, one can foresee any danger. And, then, two or three seconds later, there is a goal. This doesn't make me proud; it Makes me humble because it is a talent that God gave me.”

“To perfect his soccer, Pelé took geometry lessons and learned how to play chess,” said Giora Breil, head of the Pepsi‐Cola worldwide youth program and the men who worked closely with Pete in the World Cup last stunner. “Actually, when he plays soccer it is like he is playing chess. He can see five, to 10 moves ahead what his opponent will do.”

About Pelé's physical condition and his body, Breil said: “If nature wanted to be generous, it certainly exaggerated with Pelé.”

Pelé and Breil will continue. to work together along with Julio Mazzei, Pelé's friend and adviser who also worki on the Pepsi‐Cola program. The program brings Pelé about $200,000 a year.

Pele can run 100 meters in 11 seconds and jump almost 6 feet high. He jumps earlier than other players to head the ball because he has the ability to hover longer in the air. That split‐second advantage is tremendous in soccer.

“If properly trained, Pele could still be one of the world's 10 best in the decathlon,” said Mazzei. “He can play volleyball and basketball magnificently.

Pele scores frequently, but the goals he scores are often Overshadowed by the seemingly magical sequence that precedes them—his uncanny control, his sudden, bursts of acceleration, his instinctive positioning, his inventive passes.
In an interview in Frankfurt last June, Pelé said, “I cannot err because many
people use me for an example. But I am human and I am. obviously capable of error. The biggest fear that I have is to be something that is beyond my capacity.”

Tatizo la wabongo Kuna ugonjwa fulani unatusumbua.Yaan mtu akifunga goli au akicheza vizuri ,atapewa sifa zote kama vile hatujawahi kuona wachezaji wengine wazuri.Hata hapa nyumbani tu.Kuna mchezaji anaitwa Chama au Morrison wakicheza vizuri yaan sifa zinakuwa nyingi sana kuliko mchezaji mwenyewe.Utasikia hapa bongo haijawahi kutokea mchezaji Kama huyu.Yaan upumbavu mtupu.So far sijaona ubora wa Messi .Yaan ni Kama kubahatisha tu.Ukiwaona Croatia ni wazuri sana kuliko Messi na Argentina.Aidha kwa umri wangu nimeona Maradona akicheza mpira.Sioni Kama Messi anamfikia.Kama Messi ndio bora basi tumerudi nyuma sana.
Ukishakuanna wivu huwezi kuona maajabu ya mtu, mana umetanguliza chuki mbele badala ya uhalisia.

Hapo Croatia kuna mchezaji gani ambaye anafikia hata uwezo robo wa messi, zaidi kukamia kwenye kukaba?

Ungekua unaangalia mpira kweli ungeona hata Argentina kweli hawana team yenye wachezaji talented kama baadhi ya mataifa ila wanabebwa na uwepo wa Messi uwanjani.
 
Ukiwauliza uyo Messi ukitoa Goli za penati za kupewa kafanya kitu Gani zaidi ya hapo watakwambia anapiga chenga sana uwanjani Messi imefika time anapiga chenga hadi anadondoka mwenyewe kitu alichobakinayo Messi Kwa Sasa ni uwezo wa kuficha mpira tu ila speed,Goal score ,assist kashuka sana kama Kuna mtu anajua mpira apa aje tumpe takwimu za Messi Toka 2004
 
Sijavutiwa na uchezaji wa Argentina wala Messi.Tulishaona mechi nyingi sio huo utoporo eti pia kusifia.Mechi ya Diego Amandus Maradona anawapiga German 1986.Anapiga chenga wachezaji Kama watano wa ujerumani huku akiwa kasi.Acha bhana.
 
Lakini huwez kufanya huo Ulinganishaji ..
CR ni Messi + 3 Age.

CR at his Prime na Leon at his Prime ilikuwa haieleweki who is the be/t.

Lakin walikuwa wakipishanapishana katika ubora. Ni best players kwa miaka 15 iliyopita.

Ni jokes kumdharau CR kwa kiwango cha sasa. Umri umeshamchapa kaka
Ronaldo hajadharauliwa kaka, Ronaldo ni mchezaji bora ila Messi ni mchezaji bora zaidi ya Ronaldo
 
Kina Owen angalau Sheria ya offside ilikuwepo...wakati wa Pele hata offside haikuwepo ...alijifungia migoli tele
Mkuu Ofside rule ingewafavor kina Owen goal Poachers Owen ana skill moja tu ya Pace kwahio kabla ya pass anakuwa nyumba ya defender alafu anarudi ndani (onside) alafu ana-burst kwa pace (hio trick wamefanya sana kina Ruud van Nistelrooy) Ingawa pele hakuwa a target man bali anashuka na kufuata kupokea mpira....

By the way unamaanisha nini kwamba kulikuwa hakuna offside ? Hebu pitia hapo Historia ya Offside kuanzia 1863

The Offside Rule – 1863

history-offside-1863.gif

The offside rule originated in 1863. A player was considered offside unless three players of the opposing side are in front of him (includes goalkeeper). So in the above diagram, the player with the ball is considered offside because only two players are in front of him.

Tatizo la wabongo Kuna ugonjwa fulani unatusumbua.Yaan mtu akifunga goli au akicheza vizuri ,atapewa sifa zote kama vile hatujawahi kuona wachezaji wengine wazuri.Hata hapa nyumbani tu.Kuna mchezaji anaitwa Chama au Morrison wakicheza vizuri yaan sifa zinakuwa nyingi sana kuliko mchezaji mwenyewe.Utasikia hapa bongo haijawahi kutokea mchezaji Kama huyu.Yaan upumbavu mtupu.So far sijaona ubora wa Messi .Yaan ni Kama kubahatisha tu.Ukiwaona Croatia ni wazuri sana kuliko Messi na Argentina.Aidha kwa umri wangu nimeona Maradona akicheza mpira.Sioni Kama Messi anamfikia.Kama Messi ndio bora basi tumerudi nyuma sana.
Ila hapo pa chama inabidi ufute kauli yako
 
Duh ungeongelea Poacher kama kina Owen ambao wanakaa mbele na ku-poach magoli ningekuelewa ingawa offside rules zimebadilika sio necessarily kwa advantage ye defenders kumbuka pele alikuwa anatoka na mpira kutokea kati (yaani ana-drop) pia Pele alikuwa man marked (yaani zile wanasema huyu tumekukabidhi hata akienda kunywa maji nenda nae) man to man marking...

Pele was a Complete Player tofauti na wengine wana weaknesses... (yeye ni dribbler, yupo fit left / right leg, na headers) vile vile ana pace... ngoja hapo chini nikupe article alivyonunuliwa na Cosmos nitaku-tag....,
Jana nilikuwa nacheki mpira, kuna muda wachezaji wa Croatia walikuwa wanakabwa na watu wawili mpaka watatu

Mi nikasema jamani tukio hili hamuwezi mkalijadili kwasababu halijafanywa na mchezaji wenu pendwa

Baada ya muda ikatokea upande wa Messi kukabwa na watu watatu, kila mtu basi stori ndio ikawa hiyo hiyo

Zikaanza kelele "Ooh yule ni GOAT kumzuia ni mpaka watu wa 3 mpaka 6"
 
Ukiwauliza uyo Messi ukitoa Goli za penati za kupewa kafanya kitu Gani zaidi ya hapo watakwambia anapiga chenga sana uwanjani Messi imefika time anapiga chenga hadi anadondoka mwenyewe kitu alichobakinayo Messi Kwa Sasa ni uwezo wa kuficha mpira tu ila speed,Goal score ,assist kashuka sana kama Kuna mtu anajua mpira apa aje tumpe takwimu za Messi Toka 2004
Tatizo Umri tu umeshusha kidogo ubora, yule Messi wa 2008-2013 alikuwa hatari mno.
 
Kwani penalty sio magoli kawaulize wachezaji wa japan, spain na Brazil wakuambie jinsi ilivyo kazi kuzifunga hizo penalty.

Huyo GOAT wako Ronaldo kwenye carrier yake amefunga magoli mengi ya penalty kuliko messi na bado kazidiwa magoli.
Hapana, mpaka sasa goli za Ronaldo ni nyingi kuliko za Messi.
 
I real like this man, no matter what
 
Attachments

  • 20221214_115246.jpg
    20221214_115246.jpg
    83.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom