Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Zamani nilikuwa najua messi ni bora kuliko ronaldo
Mpaka nilpomtazama ronaldo na nikagundua kuwa
NILIKUWA sawa kabisa
Mpaka nilpomtazama ronaldo na nikagundua kuwa
NILIKUWA sawa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tunatembea kifua nyumaKwa kweli munatia aibu, Yani Penalty ndizo zinakufanyeni mutembee kifua mbele?
Ktk umri kama huu alikuwa wapi? Na katika kipindi hiyo unaita prime walikuwa wana lingana umri??Lakini huwez kufanya huo Ulinganishaji ..
CR ni Messi + 3 Age.
CR at his Prime na Leon at his Prime ilikuwa haieleweki who is the be/t.
Lakin walikuwa wakipishanapishana katika ubora. Ni best players kwa miaka 15 iliyopita.
Ni jokes kumdharau CR kwa kiwango cha sasa. Umri umeshamchapa kaka
Amekuwa mchezaji bora mara ngapi ktk kila mechi alizocheza? WC hii 2022Penati 4 angekuwa CR7 mngemwita Penaldo. Kiukweli kwenye mashindano haya mchezaji bora zaidi ni Mbape.
Ametwaa tuzo ngapi za man of the match ktk hii michuano?Mpaka sasa mchezaji bora wa haya mashindano n mbape huyo Messi n mchezaji bora Sana ila bado hajafikia ule ubora wake wa nyuma
Ebu cheki hapo baadhi ya magoli ya Pele..., hapo hakuna goal poaching hata moja ? Ni kwamba Pele alikuwa anatumia muda mwingi nje ya DKina Owen angalau Sheria ya offside ilikuwepo...wakati wa Pele hata offside haikuwepo ...alijifungia migoli tele
Mbona unanifatilia sana?Kwakua mambo hayajaenda kama ulivyotaka wewe?
Rekodi huwa zinavunjwa , amka weweHakuna mtu atanibadilisha kuhusu Pele, huyu jamaa ni mwamba kweli Kweli
Ebu cheki hapo baadhi ya magoli ya Pele..., hapo hakuna goal poaching hata moja ? Ni kwamba Pele alikuwa anatumia muda mwingi nje ya D
Aisee anza kufuatilia majadiliano sio kurukia mkuu.., Siku hizi mechi zote televised kipindi kile ilikuwaje ?Tukuletee magori ya kibabe ya Messi , magori 100 sio 10 ??? Tatizo huwa mnakalili
sayari ipi alikotoka?Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja.
Wakati Cr7 akiwa kwenye sofa na remote sitting room nyumbani kwao mwenzake huko Qatar anaibeba timu yake kwenda Fainali za Kombe la Dunia.
Tumekuwa tukiwaambia huyu ndiye La Pulga kiumbe toka sayari nyingine na baado yupo sana tu!
Mwamba huyu hapa.
View attachment 2445987
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
acha dharauMessi yupo class ya peke yake, an exceptional player.
Halafu ndio wale wengine wajipange akina Pele, Maradona, Zidane, Ronaldinho, Ronaldo de lima, Christiano Ronaldo, Beckeunbauer, di Stefano, Platini nk
weka statistics zade lima na cr7 tuonrHakuna Streka namba 9 kama Ronaldo de Lima na hakuna viungo washambuliaji kama Ronaldinho na Messi.
Unataka kusema nini hapa?Mpaka sasa mchezaji bora wa haya mashindano n mbape huyo Messi n mchezaji bora Sana ila bado hajafikia ule ubora wake wa nyuma
Ungeeka na option ya penaltyMost goals:
◉ 5 - Messi
◎ 5 - Mbappé
Most assists:
◉ 3 - Messi
◎ 3 - Kane
◎ 3 - Fernandes
◎ 3 - Griezmann
Most shots:
◉ 27 - Messi
◎ 22 - Mbappé
Most chances created:
◉ 18 - Messi
◎ 17 - Griezmann