Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwenye hizo goals matuta ni mangapi na amekosa matuta mangapiMost goals:
◉ 5 - Messi
◎ 5 - Mbappé
Not taking away anything from Messi is a Magician na hata akicheza vibaya hio siku star huwa ana tabia ya kufanya defenders wamuangalia yeye hivyo kuacha fursa ya wachezaji wengine...
Point yangu ni kwamba stats zinaweza zikasomwa vyovyote unavyotaka ku-prove point ila kuweza kupata uhakika inabidi kufanya dissection na upembuzi yakinifu they are all great players Mfano nikitaka a workaholic siwezi nikamchukua Messi (ila why do you need your best player awe grafter ?) au katika list kina Zidanne tunawaweka wapi ?
By the way Pele alishasema "Penalty is the Coward way of Scoring"
Ndio linakuja suala la complete player na hapo kuna only one man... The King The Living Legend... Pele...