Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

Hivi kwanini kila siku tubishane yale yale?? Sisi ni wendawazimu??
Yani kila siku tunabishana kama Jua linawaka?
Kila siku tunabishana kama messi ni GOAT??

Mbona ni vitu vilivyo wazi kabisa
 
Mbona duniani kuna dini chungunzima na kila Mtu huamini apendavyo ndiyomaana kuna Wakristo, Waislamu, Buddhism, Paganism, Hinduism na Rastafarians?

Kwanini tulazimishane kumkubali Messi kama vile Watu wote B 8 kasoro M 200 duniani tuko sawa kiakili, kiupeo, kiutendaji, kimaamuzi, kitabia na kimtazamo ?

TUSIPANGIANE.
 
Enzi Maradona na Pele wako active sikuwepo hivyo siwajui labda kupitia vi clip na you tube na machapisho ya mafanikio yao.

Kwangu mimi ni obvious Anaanzs Messi, kisha CR7, then wengine wanafuata sababu nimewaona nikiwa nafuatilia Boli vilivyo.
 
Back
Top Bottom