whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Bahati inaenda sambamba na uwezo mkuuKama haikupangwa, ni sawa tukisema "Messi anabebwa na bahati tu, michuano hii"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati inaenda sambamba na uwezo mkuuKama haikupangwa, ni sawa tukisema "Messi anabebwa na bahati tu, michuano hii"?
Ukishasema "haikupangwa" ni wazi statement haijali kuhusu uwezo bali bahati. Kama "imepangwa kutokea" itatokea tu.Bahati inaenda sambamba na uwezo mkuu
Saizi ukimsema Messi kwa ishu hiyo hiyo unaitwa haterCritics wa Ronaldo , walipenda sana kutumia hii excuse kuponda mafanikio yake. Hasa alipochukua ufungaji bora.
Hapo kauli sahihi ni ipi?Ukishasema "haikupangwa" ni wazi statement haijali kuhusu uwezo bali bahati. Kama "imepangwa kutokea" itatokea tu.
Washabiki wa mpira tunawahukumu hawa wawili kwa mafanikio yao kwenye kazi yao. Hayo mengine ni maisha binafsi sana ambayo hayawezi kutumika katika kuwalinganisha kwenye pitch.Ronaldo dream ya kushinda WC haijaisha, anaweza kua kocha pia ana mtoto ni baller pia.
Between Messi and Ronaldo I will choose Ronaldo maana kafanikiiwa in side na outside ya sport.
Ukitoa ma Mipira Messi wako ana nini cha kututambia😄😄
Pele is the only player in the world to have won three World Cup titles... Pele, popularly known as 'The King', is widely considered one of the greatest footballers of all time.Hatuwezi kubishana masuala sjui huyo Pele , mara sjui Maradona mara Delema mara sjui Nani , wengine mtajifanya wahenga humu , ooh Pele ilikuwa hv , the best way ni kuangalia data na mafanikio baaasi , tutalinganisha mafanikio ya Pele , tuzo na mafanikio ya Mesi pamoja na tuzo , hayo mengine ni mbwembwe tuu
Hapa umemaliza nakuunga mkono na miguu ikibidi.Hakuna Streka namba 9 kama Ronaldo de Lima na hakuna viungo washambuliaji kama Ronaldinho na Messi.
Hapo kwenye dini umepuyangaWengi ambao huwa tupo upande wa CR7 huwa tunalijua hilo ila ni mapenzi tu
Ni kama kuna watu tupo kwenye ukiristo lakini tunajua dini ya kweli ni uislam
Kuna siku nilikuwa nawaonesha madogo crip za youtube za Ronaldo na Messi baada ya madogo kumaliza kuangalia wakaniambia Messi ni balaa sana,wakaniuliza watu wanaosema Cr7 ni mkali huwa wanaangalia nini,niliumia moyoni ila nilipiga kimya tu
Mwaka huu mpaka sasa katika French League wachezaji watatu Bora mpaka sasa ni kina nani ?Tofautisha mfungaji Bora na mchezaji Bora , Mbape mnampa kichwa tuu kama wale madogo wa England na Brazil , avunje Kwanza ukuta wa Morocco Leo ndo tuanze kumuwazia , ni kumkosea heshima Messi kumlinganisha na uchafu wa mbape
We jamaa unaongelea past,most of us hatukuepo kipindi Cha Pele . Now tunamuona mchezaji Bora before our eyes, NOW. Messi tunamuona NOW kwenye hiki kizazi chetu mnashindwa kumu enjoy NOW Kwa kuletea story za Pele,kweli? Messi mpira upo kichwani brother,he is 35 lakini anacheza kama mara ya kwanza nilipomuona. Ronaldo anajituma na alikua fit,now hayupo fiti ndio maana kiwango kimepungua ila Messi mpira upo kichwani mwake,mwili wake ni kama means tu lakini mpura wote anaucheza kichwani.Tuzo za Pele na Messi zipoje ?
Hivi unajua Timu za Ulaya zilikuja kumnunua Pele..., Lakini Serikali ya Brazil kuona hivyo Star anaweza kuondoka ikamfanya Pele nyara ya Serikali / Nchi hivyo hawezi kuuzwa ?
Acha ku-simplify mambo kijana...., Huyu Pele anayeshikilia rekodi ya kijana mdogo mpaka leo kufunga katika World Cup alikuwa pia ni mtu mweusi kipindi cha ubaguzi..., alifanya mambo kule Sweden hadi mabinti / mashabiki wa Sweden wakaanza kumshangilia....., na hayo yote bado ali-keep his head straight / professionalism tofauti na Kina Diego walioshawishika kwenda astray (when you talk about football the guy is the beauty in the Beautiful Game..., kama Vile Bob anavyo-define Reggae) yaani hata Edson Arantes do Nascimento ni vehicle tu ya kumbeba PELE and he has done great kwa kumfikisha hapa leo bila any scandals Ni Ambassador of Football; Role Model and Genius all in one)
Penati 4 angekuwa CR7 mngemwita Penaldo. Kiukweli kwenye mashindano haya mchezaji bora zaidi ni Mbape.
Most goals:
◉ 5 - Messi
◎ 5 - Mbappé
Most assists:
◉ 3 - Messi
◎ 3 - Kane
◎ 3 - Fernandes
◎ 3 - Griezmann
Most shots:
◉ 27 - Messi
◎ 22 - Mbappé
Most chances created:
◉ 18 - Messi
◎ 17 - Griezmann
Mnakuza mno huyo Pele ili kumdunisha Messi..Tuzo za Pele na Messi zipoje ?
Hivi unajua Timu za Ulaya zilikuja kumnunua Pele..., Lakini Serikali ya Brazil kuona hivyo Star anaweza kuondoka ikamfanya Pele nyara ya Serikali / Nchi hivyo hawezi kuuzwa ?
Acha ku-simplify mambo kijana...., Huyu Pele anayeshikilia rekodi ya kijana mdogo mpaka leo kufunga katika World Cup alikuwa pia ni mtu mweusi kipindi cha ubaguzi..., alifanya mambo kule Sweden hadi mabinti / mashabiki wa Sweden wakaanza kumshangilia....., na hayo yote bado ali-keep his head straight / professionalism tofauti na Kina Diego walioshawishika kwenda astray (when you talk about football the guy is the beauty in the Beautiful Game..., kama Vile Bob anavyo-define Reggae) yaani hata Edson Arantes do Nascimento ni vehicle tu ya kumbeba PELE and he has done great kwa kumfikisha hapa leo bila any scandals Ni Ambassador of Football; Role Model and Genius all in one)
Unadhani rahisi? muulize Harry KaneMagoli matano aliyofunga messi manne ni penalty
Pele is the only player in the world to have won three World Cup titles... Pele, popularly known as 'The King', is widely considered one of the greatest footballers of all time.
Youngest player to play and win the World Cup
Pele is the youngest player to play and win the World Cup. At the age of 17 years and 249 days, Pele helped Brazil win the World Cup in 1958 at the Rasunda Stadium in Solna, Sweden. Brazil defeated the hosts 5-2 to win their first-ever World Cup trophy where Pele scored a brace.
Joint - Highest international goalscorer for Brazil
Pele is the all-time highest goalscorer for Brazil in international football. In 92 official matches recognised by FIFA, the legendary forward scored 77 goals. The record has remained untouched for five decades until Neymar equaled it ila hizo ni record za FIFA Brazil wana record tofauti ambapo amefunga magoli zaidi...
Youngest Goalscorer in World Cup
Youngest player to Score Hat Trick in World Cup
92 Hat-tricks
There is only one King... and that is The King.... Pele
Ronaldo mgombania magoli vipi haingii tena kwenye hiyo list?Mpaka sasa mchezaji bora wa haya mashindano n mbape huyo Messi n mchezaji bora Sana ila bado hajafikia ule ubora wake wa nyuma
Messi atakuwa akili yake haiwezi kupembua mambo au sio mfuatiliaji.... (wakati ananyonya watu walikuwa wanauguza ankle zao na magoti na majeraha kadhaa) In short Pele angeweza kucheza leo (technically gifted) lakini kipindi hicho ulihitaji kuwa na nguvu za ziada (Messi ofcourse ana nguvu ila asingecheza mechi nyingi kama anazocheza leo) injuries...
Hivi unajua kipindi cha kina Pele Striker alikuwa hapewi favor (unapigwa buti mpaka unashangaa) bila nguvu usingeweza kucheza..., Leo Messi ni multi million asset akiumia siku chache sponsors wanapoteza pesa, hivyo refeers wanamlinda akiguswa tu basi...
Kipindi kila beki anakupiga kiatu au hata ukizubaa unapigwa kichwa na pepsi za kutosha..., unadhani kina Messi wangecheza kipindi hicho... huo mwili wake tu angekuwa anawekewa majamaa mawili yaliyoshiba akitoka hapo miguu imevimba.... tena acha kipindi cha kina Pele hata kipindi cha 1990 kina Maradona hebu cheki hapa Cannigia alivyopigwa kiatu (refa anapeta tu) leo hii mtu angejirusha apewe penalty...