Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

Kuna the Legend Pele alafu hao wengine....

Yaani kama ni SI Unit kila mtu analinganishwa na Pele....

Kipindi kile hakuna striker kulindwa mtu unapigwa ndaluga mpaka ugoko unatoa unga..., kina Messi hata wasingefikisha hizo mechi nusu ya football career zao ingekuwa Injuries...

There is the Legend alafu hao wengine...
 
Pele hatakiwi kupewa hiyo recognition kwakua katika kizazi chake sheria za mpira zilikuwa weak, zilichangia kum favour sana

Hayo ni maneno ya team Messi
 
Messi yupo class ya peke yake, an exceptional player.

Halafu ndio wale wengine wajipange akina Pele, Maradona, Zidane, Ronaldinho, Ronaldo de lima, Christiano Ronaldo, Beckeunbauer, di Stefano, Platini nk

Mapenzi yamekuzidi kijana wa filamu
 
Pele hatakiwi kupewa hiyo recognition kwakua katika kizazi chake sheria za mpira zilikuwa weak, zilichangia kum favour sana

Hayo ni maneno ya team Messi
Messi atakuwa akili yake haiwezi kupembua mambo au sio mfuatiliaji.... (wakati ananyonya watu walikuwa wanauguza ankle zao na magoti na majeraha kadhaa) In short Pele angeweza kucheza leo (technically gifted) lakini kipindi hicho ulihitaji kuwa na nguvu za ziada (Messi ofcourse ana nguvu ila asingecheza mechi nyingi kama anazocheza leo) injuries...

Hivi unajua kipindi cha kina Pele Striker alikuwa hapewi favor (unapigwa buti mpaka unashangaa) bila nguvu usingeweza kucheza..., Leo Messi ni multi million asset akiumia siku chache sponsors wanapoteza pesa, hivyo referees wanamlinda akiguswa tu basi...

Kipindi kile beki anakupiga kiatu au hata ukizubaa unapigwa kichwa na pepsi za kutosha..., unadhani kina Messi wangecheza kipindi hicho... huo mwili wake tu angekuwa anawekewa majamaa mawili yaliyoshiba akitoka hapo miguu imevimba.... tena acha kipindi cha kina Pele hata kipindi cha 1990 kina Maradona hebu cheki hapa Cannigia alivyopigwa kiatu (refa anapeta tu) leo hii mtu angejirusha apewe penalty...

Pele hatakiwi kupewa hiyo recognition kwakua katika kizazi chake sheria za mpira zilikuwa weak, zilichangia kum favour sana

Hayo ni maneno ya team Messi
I wish ungejipa homework ya kumtazama Pele unge badili maamuzi
 
Messi atakuwa akili yake haiwezi kupembua mambo au sio mfuatiliaji.... (wakati ananyonya watu walikuwa wanauguza ankle zao na magoti na majeraha kadhaa) In short Pele angeweza kucheza leo (technically gifted) lakini kipindi hicho ulihitaji kuwa na nguvu za ziada (Messi ofcourse ana nguvu ila asingecheza mechi nyingi kama anazocheza leo) injuries...

Hivi unajua kipindi cha kina Pele Striker alikuwa hapewi favor (unapigwa buti mpaka unashangaa) bila nguvu usingeweza kucheza..., Leo Messi ni multi million asset akiumia siku chache sponsors wanapoteza pesa, hivyo refeers wanamlinda akiguswa tu basi...

Kipindi kila beki anakupiga kiatu au hata ukizubaa unapigwa kichwa na pepsi za kutosha..., unadhani kina Messi wangecheza kipindi hicho... huo mwili wake tu angekuwa anawekewa majamaa mawili yaliyoshiba akitoka hapo miguu imevimba.... tena acha kipindi cha kina Pele hata kipindi cha 1990 kina Maradona hebu cheki hapa Cannigia alivyopigwa kiatu (refa anapeta tu) leo hii mtu angejirusha apewe penalty...

Ukweli mtupu
 
Hakuna Streka namba 9 kama Ronaldo de Lima na hakuna viungo washambuliaji kama Ronaldinho na Messi.
Messi ni striker sio kiungo mshambuliaji , usipotoshe Uma tafadhali , alaf ronaldo Delema na Ronaldinho hata usiwasogeze , hao wapo namba tano kushuka huko
 
Mpaka sasa mchezaji bora wa haya mashindano n mbape huyo Messi n mchezaji bora Sana ila bado hajafikia ule ubora wake wa nyuma
Tofautisha mfungaji Bora na mchezaji Bora , Mbape mnampa kichwa tuu kama wale madogo wa England na Brazil , avunje Kwanza ukuta wa Morocco Leo ndo tuanze kumuwazia , ni kumkosea heshima Messi kumlinganisha na uchafu wa mbape
 
Back
Top Bottom