ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Huu ndo ukweliPenati 4 angekuwa CR7 mngemwita Penaldo. Kiukweli kwenye mashindano haya mchezaji bora zaidi ni Mbape.
Penati 4 angekuwa CR7 mngemwita Penaldo. Kiukweli kwenye mashindano haya mchezaji bora zaidi ni Mbape.
Hakuna Streka namba 9 kama Ronaldo de Lima na hakuna viungo washambuliaji kama Ronaldinho na Messi.Messi yupo class ya peke yake, an exceptional player.
Halafu ndio wale wengine wajipange akina Pele, Maradona, Zidane, Ronaldinho, Ronaldo de lima, Christiano Ronaldo, Beckeunbauer, di Stefano, Platini nk
Kwan ni dhambi kufunga penalt?
Labda mfungaji bora sio mchezaji bora.Penati 4 angekuwa CR7 mngemwita Penaldo. Kiukweli kwenye mashindano haya mchezaji bora zaidi ni Mbape.
Huu ndio ukweliPenati 4 angekuwa CR7 mngemwita Penaldo. Kiukweli kwenye mashindano haya mchezaji bora zaidi ni Mbape.
Achana na magoli, mchango kwenye timuHuu ndio ukweli
Kama sijakosea mtoa mada anawashindanisha Ronaldo na Messi, sio mbapeMpaka sasa mchezaji bora wa haya mashindano n mbape huyo Messi n mchezaji bora Sana ila bado hajafikia ule ubora wake wa nyuma
SanaaaaKajamaa kanajituma sana, ushindi wa jana kahusika kwenye magoli yote 3. Pamoja na juhudi binafsi za dogo Alvarez kwenye goli la pili, lakini pasi ya mwisho ilitoka kwa lapulga. La mwisho assist ni la pulga la kwanza mchizi tena, aisee.
Jamaa anaupiga mwingi.