Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Hakuna kosa amefanya wala mimi sijafanya kosa kosa limefanywa na mtu wa katikati yetu ila linamuhusu yeye na alijua kabisa ila akanyamaza kama Hakuna kilichotokea nikasema wacha nimpe siku kadhaa atasema neno ila hakuna kitu nikaona Nipigi kimya na yeye akapiga kimya kesho tunafunga mwezi 😌😌
 
Uzoba na umbumbumbu wa mapenzi unaanza na ID yako.
Endelea kubaki kwenye jela ya mapenzi panakufaa zaidi.
Halafu kuachaacha wanaume ni chanzo cha umalaya na usingle mother...!
Kama hawatutaki tufanyaje ukiacha hao wanawake unaowajua.. unatoa ushaurii gani kwa sisi tunaowapenda na kujipendekeza lakini ndio wanatufanyia visa vya hivi kwamba mtu hakutaki umgande??
 
Kosa lako unalijua sema kama ilivyo kawaida ya wanawake mara zote mwenye kasoro ni mwanaume. Kama unahitaji kusulujisha ilo suala lenu mfate anapoiishi muongee face to face
Sina kosa lolote wala yeye si kwamba ana makosa ni vile amefumbia jambo lenye uzito kimya kama Hakuna kilichotokea so kama mtu hasemi kitu means hakuhitaji
 
Hujampenda
Sijawahi mpenda mtu Kwa hisia Bali Kwa uwajibikaji wa pande zote,hicho tuu ndio nachomshukuru Mungu maana naona nyie mnaosema mumependa mnavyoteseka.

Sikumbuki kama Kuna mwanamke yeyote hapa Duniani amewahi niletea Uhuni nisimkaushie.

Mwanamke sio kipaombele kwenye maisha yangu
 
Kama mtu anaonesha hakuitaji kuendelea kujishusha hakusaidii kitu kama kujishusha nimeshajaribu mara nyingi lakini Hakuna mafanikio
 
Hiyo sentence ya mwisho ndivyo alivyonambiaga huyu mwanaume kwamba mapenzi kwake sio kipaumbele so mtu akikwambia hivyo inakuwaga tu hajakufeel sidhani kama waweza mwambia mwanamke ambae upo nae serious kwamba sio kipaumbele labda useme moyoni
 
Anakupenda huyo ila ego ameiweka mbele kama huamn anza kudate na mtu uone atakqvyokuja kumchoma kisu πŸ˜‚
Yaani asuburi ni date na mwinginee ndio aje haya sio mapenzi ni wivu
Anyway am done with sukuma men ni wajeuri nitajaribu na kabila zingine
 
Hiyo sentence ya mwisho ndivyo alivyonambiaga huyu mwanaume kwamba mapenzi kwake sio kipaumbele so mtu akikwambia hivyo inakuwaga tu hajakufeel sidhani kama waweza mwambia mwanamke ambae upo nae serious kwamba sio kipaumbele labda useme moyoni
Tafuta wanaume wanaoishi Kwa hisia kama nyie ndio muendelee ku feel each other.

Sisi tunaojali uwajibikaji ukifeli huko hata hayo mapenzi ni Kwa sababu tuu upo ila sio lazima.

By the way I can't be manipulated by a woman by any means.
 
Naona kama uko nnje ya mada
Sijawahi fanya manipulation for any body
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…