Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 427
- 653
- Thread starter
-
- #141
Hata wanaume mko hivyoLife style ya mwanamke ni manipulation tupu
Tuko real we don't fake life,Ili kitokee nini?Hata wanaume mko hivyo
Kila mtu ana Kisanga chake
Kuna watu humu wao kazi yao ni kuumiza wengine na hii haichagui jinsia
Sema wewe usisemee wengineโฆTuko real we don't fake life,Ili kitokee nini?
Yeye ndio ana utoto kama hanitaki si anasema kibarua kimeota NyasiMna utoto mwingi sana.. subirini mkue.
Au anipe namba ya huyo jamaa yake ili nimfokee.Kamsemee kwa babaake
the coolest guy, nakusabahi..!๐๐Au anipe namba ya huyo jamaa yake ili nimfokee.
The coolest guy mwenzangu nipo poa,vp mambo huko?the coolest guy, nakusabahi..!๐๐
Namshukuru Mungu ndugu yangu, japo jua niliko linachoma kama pasi ya mchina..!The coolest guy mwenzangu nipo poa,vp mambo huko?
Bora yako aisee,huku tunatembea juu ya Snow.Namshukuru Mungu ndugu yangu, japo jua niliko linachoma kama pasi ya mchina..!
Poleni kwa kweli,Bora yako aisee,huku tunatembea juu ya Snow.
Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)
Hakuna kosa amefanya wala mimi sijafanya kosa kosa limefanywa na mtu wa katikati yetu ila linamuhusu yeye na alijua kabisa ila akanyamaza kama Hakuna kilichotokea nikasema wacha nimpe siku kadhaa atasema neno ila hakuna kitu nikaona Nipigi kimya na yeye akapiga kimya kesho tunafunga mwezi ๐๐
Tasnia ya mapenzi inahitaji ubunifu binafsi.Kama hawatutaki tufanyaje ukiacha hao wanawake unaowajua.. unatoa ushaurii gani kwa sisi tunaowapenda na kujipendekeza lakini ndio wanatufanyia visa vya hivi kwamba mtu hakutaki umgande??
Ukimpenda mtu hautahesabu mabaya yake, utalenga kwenye kumrekebisha ili mkue pamojaWajinga wajinga ndio huomba pesa hovyo hovyo pasipo kuja na mikakati ya kuzitengeneza hizo pesa ili awe anajichotea tu mwenyewe.
Kumrekebisha mtu kunaanza na kukubali makosa yake yapo, si kuyafuta kwa jina la upendo.Ukimpenda mtu hautahesabu mabaya yake, utalenga kwenye kumrekebisha ili mkue pamoja
Dah ni ku-pray deep kupata genuine guys sikuizi ni kivumbi na jasho๐ฅตShem Seran ๐๐๐ mahusiano ni balaa... nakuombea Mungu upate mtu sahihi wa kujenga familia nae.
Pray hard, maana good Man is hard to Find.
Alaf series zitakupoteza. Hakuna uhalisia kule Shem. Utulie ๐๐๐๐๐
Dah ni ku-pray deep kupata genuine guys sikuizi ni kivumbi na jasho๐ฅต
Hao good men wenyew hawawi single mpk tuwagombaniee๐
Sipotei shemela, si kujifurahisha tuu mwee๐