Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

Picha za kihistoria za Zanzibar : Iliyokuwa Bandari kuu ya Forodhani kabla haikujengwa ile ya Malindi .
 
Kumbukumbu ya maisha katika mitaa ya Mji wa Zanzibar kwenye miaka ya 1990s .
 
Zanzibar katika miaka iliyopita : Watalii wakinywa kahawa asilia pale "Empire" Mji Mkongwe mwaka 2001 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…