Hapana, si kweli kuwa Charles Dundas alishawahi kuishi Tengeru.Ni kweli kuwa Charles Dundas alishawahi kuishi tengeru?
Shukrani kwa responseHapana, si kweli kuwa Charles Dundas alishawahi kuishi Tengeru.
Sir Charles Dundas, ambaye alikuwa mtawala wa kikoloni wa Uingereza, aliishi na kufanya kazi zake kwa karibu zaidi katika maeneo ya Moshi na Kilimanjaro.
Alihudumu kama Kamishna wa Wilaya (District Commissioner) wa eneo la Moshi katika miaka ya 1920.
Huyo mwanamke ndo mama ake banana?Mama Randi wangu. Na mimi.
Tumetoka mbali. Miaka 18; bila ugomvi wala mabishano. Allah Baarickllana!!
Zahir Ally ZoroView attachment 3685685
Sawa mkuu, ahsante kwa ufafanuziNi marehemu Maunda Zorro, ambaye alikuwa ni dada yake Banana Zorro.