Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

1789658271767.jpg
 
Picha ya kwanza yenye mnara, Kuna mti ambao ulinyongewa machifu wa Jimbo la kaskazini. Baadae reli ya Tanga kufika Moshi mjini 1919, wajerumani wakaamisha makao toka Old Moshi kuja New Moshi. Wakatengeneza hicho kitanzi Cha kunyongea pembeni kidogo ya ilipo stand kuu Moshi.
Hichi kitanzi kipo Hadi Leo Moshi stand.
1790038503079.jpg
 
Back
Top Bottom