Kitu kimoja ambacho ccm hawajui au wanasahau kwa umbumbu au kiburi.
Kabla ya Uhuru wazungu walitumia kila aina ya mbinu, kutishia watu weusi ili wasidai uhuru wao.
Hapa Congo Wabelgiji walikata watu viganja vya mikono, waliua watu mchana .. Waafrika walinyongwa mbele ya halaiki za watu ili waogope, lakini and at walizidi kuwa jasiri na kusonga mbele..
Watanzania hawatakubali ujinga wa dola hii dhalimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.