Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

Arusha 1960

Tabasamu zenye siha
1790761448989.jpg
 
Huwa natamani sana ni heri ningezakiwa miaka ya nyuma kabisa ili mwaka kama huu ningekua mzee kabisa...

Huwa naonea wivu sana watu wana a zamani.
Napenda sana life ya zamani na nachukia sana hi life ya sasa.

Natamani niende nikaishi mashambani huko mi kazi yangu iwe kulima tu..

Natamani sana sana sana natamani ile life. Ya 1900s...

Nawezaje kwenda mashambani nikajifiche huko nipate kipande cha ardhi maisha yaanze,

Niwe na acces ya
Umeme na Internet tuuu
Furahia wakati uliopo , leo ni zamani ya baadaye.
 
Huu mjengo gari zina park ghorofani,muonekano wa hizo gari inaonekana gari za Mjapan ilikuwa bado kuingia nchini hence hii picha ni ya kitambo.

Gari pia ziki park ghorofani Motel Agip-nadhani hizi sehemu mbili ndio pekee nchi nzima ambazo parking ilikuwa ghorofani.

Jee umepatambua hapo???
1791064086968.jpg
 
Mkuu wa Boma la Arusha, Kurtz Yohannes 1896.View attachment 3668148



Ilikuwepo ruti ya stesheni Chang'ombe Polisi yalitoweka 1970 na mengine yaliishia Kiwalani Bombomu, Bombomu yalikuwa mabasi nusumkate mbele, yaani mbele kuna sehemu ya dereva tu ndiyo asili ya nusumkate au Bombomu na jina likaangukia hapo Kiwalani yalipochinjiwa eneo kilipo kiwanda cha Pepscola.
 
Mitaani Zanzibar enzi za zamani ...Jee kuna yo yote anaweza kupatambuwa hapa ni wapi au ni mtaa gani ....???!!!
1791142215824.jpg
 
Pichani ni miaka ya 1980's * Pichani kuna kitu hakikuwepo miaka hiyo kitaje*

#EnziZile.....
1791213786588.jpg
 
Back
Top Bottom