permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Tayari washabana wizi wa kura, mambo ya hukamisha mabox hayaruhusiwi hukuYaani watanzania mmeamua kabisa kumpigia wa Ghana? Maana naona kila nikipitia link hiyo asilimia za Rais wa Ghana anazidi kuongeza kura huku za kwetu zikiwa zimesimama na kupungua. Hebu tuwe wazalendo jamani
Msiangalie mabeberu wanawapangia nini angalia amefanya nn.Anayestahili kushinda hapo ni mh. NANA-AKUFO ADDO wa Ghana.
Hao wengine ni wasindikizaji tuu
Natamani nipige kura mara ya pili nimpigie tena rais wa ghana.Siasa zenu ndizo zinaligawa taifa, jana Magufuli alikuwa anaongoza kwa 95% leo kapitwa hadi trh 8 sijui kama hata 20% anaweza kupata.
Na kadri unavyowajibu watu ndivyo kura zake unazipunguza, mwisho utajilaumu kwanini ulianzisha uzi huu.
View attachment 1666168
Naomba link nimpe kura yangu.Ndio wakati dunia ione watz tulivyo na internet penetration kubwa africa.
kablock hata wanaompenda watashindwa kumpigia. Ghana juuuuuKutoka kuongoza 96% hadi sasa 40%View attachment 1666199
Kamanda tindo ulipoteza ubunge? Mbona umekuwa mtu wa kulialia tu? Maji yakimwagika hayazoleki. Ndio ilishatoka hiyo kama wananchi walikukataa basi kuwa mpore tu.Mkuu wapiga kura wengi huko ni watanzania na ndio wanampa rais wa Ghana. Hivyo wameona isiwe tabu bora wablock huo mtandao. Mpaka mwisho wa zoezi rais wa Ghana atashinda kwa nguvu. Hata kwenye uchaguzi mkuu matokeo yalikuwa hivyo hivyo.
Tiyari tushaangalia mkuu, na ndo sabb tunajua pa kurundika kuraMsiangalie mabeberu wanawapangia nini angalia amefanya nn.
Acha upuuzi,baada ya uchaguzi Ghana wamekufa raia wangapi?Ghana ni father of demokrasia
Kamanda tindo ulipoteza ubunge? Mbona umekuwa mtu wa kulialia tu? Maji yakimwagika hayazoleki. Ndio ilishatoka hiyo kama wananchi walikukataa basi kuwa mpore tu.
Acha upuuzi,baada ya uchaguzi Ghana wamekufa raia wangapi?
Mimi nineshampigia John Pombe Magufuli.Mimi nimeshampigia Nana Okafo wa Ghana
Mbona kuna gazeti moja la kada wa ccm amesema kiongozi wa Tanzania ndiyo kaibuka mshindi?Kuna Upigwaji Kura wa Tuzo zinapigwa huko ila nashangaa kila nikichungulia tu nawaona Viongozi wengine na Percentages zao ila Kiongozi wangu nimejitahidi hadi Kuzuumu nijiridhishe kama nae yupo lakini hola. Kwa jinsi Kiongozi wangu wa Tanzania alivyo na Maono, Mchapakazi, Hodari na ameitoa Tanzania pabaya na sasa inaenda Peponi Kimaendeleo naona hawa ALM wanamuonea mno.
Na zanzibar walikufa wangapi?Acha upuuzi,baada ya uchaguzi Ghana wamekufa raia wangapi?
Mpigie kura rais wa ghana.Siwezi kupoteza bado langu nikampigia Kura mtu wa hovyo kabisa
Hiyo ndio demokrasia sasa umempigia magu nimempigia rais wa ghana!!Mimi nineshampigia John Pombe Magufuli.