Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Yaani watanzania mmeamua kabisa kumpigia wa Ghana? Maana naona kila nikipitia link hiyo asilimia za Rais wa Ghana anazidi kuongeza kura huku za kwetu zikiwa zimesimama na kupungua. Hebu tuwe wazalendo jamani
Tayari washabana wizi wa kura, mambo ya hukamisha mabox hayaruhusiwi huku
 
Naomba link nimpe kura yangu.Ndio wakati dunia ione watz tulivyo na internet penetration kubwa africa.
 
Siasa zenu ndizo zinaligawa taifa, jana Magufuli alikuwa anaongoza kwa 95% leo kapitwa hadi trh 8 sijui kama hata 20% anaweza kupata.

Na kadri unavyowajibu watu ndivyo kura zake unazipunguza, mwisho utajilaumu kwanini ulianzisha uzi huu.

View attachment 1666168
Natamani nipige kura mara ya pili nimpigie tena rais wa ghana.
 
Mkuu wapiga kura wengi huko ni watanzania na ndio wanampa rais wa Ghana. Hivyo wameona isiwe tabu bora wablock huo mtandao. Mpaka mwisho wa zoezi rais wa Ghana atashinda kwa nguvu. Hata kwenye uchaguzi mkuu matokeo yalikuwa hivyo hivyo.
Kamanda tindo ulipoteza ubunge? Mbona umekuwa mtu wa kulialia tu? Maji yakimwagika hayazoleki. Ndio ilishatoka hiyo kama wananchi walikukataa basi kuwa mpore tu.
 
Kamanda tindo ulipoteza ubunge? Mbona umekuwa mtu wa kulialia tu? Maji yakimwagika hayazoleki. Ndio ilishatoka hiyo kama wananchi walikukataa basi kuwa mpore tu.

Sijawahi kugombea nafasi yoyote ile ya kisiasa maana sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, zaidi ya kuwa shabiki nguli wa cdm. Najua imetoka, sasa itabidi uzoee hizi kebehi za wizi wa kura. Wananchi walikataa kwani kulikuwa na uchaguzi, au maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
 
Kuna Upigwaji Kura wa Tuzo zinapigwa huko ila nashangaa kila nikichungulia tu nawaona Viongozi wengine na Percentages zao ila Kiongozi wangu nimejitahidi hadi Kuzuumu nijiridhishe kama nae yupo lakini hola. Kwa jinsi Kiongozi wangu wa Tanzania alivyo na Maono, Mchapakazi, Hodari na ameitoa Tanzania pabaya na sasa inaenda Peponi Kimaendeleo naona hawa ALM wanamuonea mno.
 
Mbona kuna gazeti moja la kada wa ccm amesema kiongozi wa Tanzania ndiyo kaibuka mshindi?
 
Back
Top Bottom