Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Kwa maelezo hayo mafupi Magufuli hakustahili hata kuwemo kwenye mchuano huo. Kuwemo kwake ni kiashiria kuwa Africa tuna hali mbaya sana ktk utawala bora, hadi Magufuli anakuwa considered kunawirisha demokrasia!!!!!!!!!!!!... Muungwana anapoamua kumuita kichaa watete jambo, hapo ujuwe wanaoweza kuzungumza vizuri hawapo!.
Ghana wanastahili.
 
Kuna watu na akili zao fupi basi wanaona huku kupiga kura ndio kama uchaguzi mkuu wa nchi vile.
 
Only a fool can vote for him!
 
Jecha wapi jecha
 
Over my dead body! This very murderer a good leader!!???? spare me this shit!
 
Hiyo 56% kaipata wapi? au lumumba mme hack hiyo account mkaweka namba zenu kama kawaida yenu!

Inawezekana hizo kura zilikuwa na Nana A. Addo.
Na kwa taarifa yako hizo kura asilimia kubwa ninkutoka mataifa mengine. Sie bado hatujaanza mimina lura zetu.
Jpm anakubalika sana africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…