Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hiyo ni 100% haziwezi kamwe labda aende MaeraaaKuna kila dalili kuwa kura za Mzee wetu ktk anga za kimataifa hazitatosha.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni 100% haziwezi kamwe labda aende MaeraaaKuna kila dalili kuwa kura za Mzee wetu ktk anga za kimataifa hazitatosha.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Tupo wengi sana kwenye huo mpango wakomagu akishindwa nitafanya sherehe kama ya x-mass
Wanachi wa Ghana ndo wanapaswa kumpigia kura Rais wao cos wanajua kama kakuza demokrasia ndani ya nchi yao, ila wewe unategemea vyombo vya habari vimseme vibaya Rais wao? Uo ni uongoMpigie kura rais wa ghana.
Siunajua kuwa linamilikiwa na yule jamaa aliye zawadiwa ubunge kule kwetu?Thubutu!
Kumbe madictator hupigiwa Kura?
Kwa maelezo hayo mafupi Magufuli hakustahili hata kuwemo kwenye mchuano huo. Kuwemo kwake ni kiashiria kuwa Africa tuna hali mbaya sana ktk utawala bora, hadi Magufuli anakuwa considered kunawirisha demokrasia!!!!!!!!!!!!... Muungwana anapoamua kumuita kichaa watete jambo, hapo ujuwe wanaoweza kuzungumza vizuri hawapo!.AFRICAN POLITICAL LEADER OF THE YEAR
(Formerly: ALM Person of the Year 2020 – Political Leadership)
This recognition is open to an African, whose contribution has immensely contributed to deepening democracy and democratic values in the continent.
....ndo maelezo ya pale mtandaoni. Inatakiwa kupigia kura kiongozi "aliyestawisha" na kuboresha demokrasia.
Inabidi uwe mnafiki sanaa kumpigia kura mtu fulani aliyeua kabisa demokrasia
Only a fool can vote for him!Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.
Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Wa kwenu Yuko kwenye. Mabanda pale chamwino, uliona ile.picha alitoaga Yuko store akadai anaongoea zing pin wa chinaMliberal nyie rais wennu yuko ulaya analala kwenye majengo ya wakimbizi
Labda amwite Diwani Athmani akachakachue na huko¬ Amepelekwa ili aaibishwe!Hali ni mbaya na inakwenda kwa nasi mno. Ndani ya SAA 24 katoka 92% kaporomoka hadi 45%.
Kuna kila dalili hadi kufikia hiyo tarehe 8 Jan wakifunga kuna kujikuta ana 10% tuuView attachment 1666369
Wa kwenu Yuko kwenye. Mabanda pale chamwino, uliona ile.picha alitoaga Yuko store akadai anaongoea zing pin wa china
Wakuu kwema? Kwangu haifunguki, kunani?! Natamani kumpa Kura JPM haraka. Wazalendo Oyee!
Mkuu punguza munkari, mnadai mmeshinda uchaguzi Lakini mna hasira tatizo Nini?Nakuongoza wewe na mmeo na ukoo wako wote hata kodi mnalipa kila siku
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu Magufuli anaongoza kwa asilimia ngapi hadi sasa hivi?Nakuongoza wewe na mmeo na ukoo wako wote hata kodi mnalipa kila siku
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Jecha wapi jechaKuna Upigwaji Kura wa Tuzo zinapigwa huko ila nashangaa kila nikichungulia tu nawaona Viongozi wengine na Percentages zao ila Kiongozi wangu nimejitahidi hadi Kuzuumu nijiridhishe kama nae yupo lakini hola. Kwa jinsi Kiongozi wangu wa Tanzania alivyo na Maono, Mchapakazi, Hodari na ameitoa Tanzania pabaya na sasa inaenda Peponi Kimaendeleo naona hawa ALM wanamuonea mno.
Over my dead body! This very murderer a good leader!!???? spare me this shit!Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.
Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Na kwa taarifa yako hizo kura asilimia kubwa ninkutoka mataifa mengine. Sie bado hatujaanza mimina lura zetu.Hiyo 56% kaipata wapi? au lumumba mme hack hiyo account mkaweka namba zenu kama kawaida yenu!
Inawezekana hizo kura zilikuwa na Nana A. Addo.