Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Itatusaidia nini?
 
Nijuavyo watanzania tuu wanafiki, hivyo chochote sikiamini na namna na kwa
Kuwa imani kupitia mfumo huru wa habari nao ulisha vurugiga zamani. Hivyo kuamini taaarifa inahitaji muda wa kujiridhisha kwanza.
 
Aisee nimecheka sana aisee Nina piga kinywaji chakula adi kime nipali na hapo amna haja ya kungalia % atapiga apendavyoπŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anapiga hadi achoke
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anapiga hadi achoke
Aisee acha tu nimecheka nilipo fikiria hivyo nilikuwa nina piga changamoto na kinywaji triple dah nimecheka sana ndugu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…