Nyie ndio huwa mnalalamika kwamba hamshindi sababu ya ukosefu wa tume huru, lakini cha ajabu baada ya uchaguzi badala ya kudeal kupata hiyo tume huru mnahangaika na vitu vya kijinga, kama hivi ona huu uzi una coments zaidi ya 600 utafikiri hizo kura zinamuindoa Magu ikulu. Wengine nimeona wanaibua hoja eti Mwinyi anamfunika Magu [emoji23][emoji23][emoji23]yani ni upumbavu mtupu. Lakini mambo ya maana mtaanza kuyakumbuka ikifika mwezi wa 10 mwaka 2025.Kwani kukosekana tume huru kunawaathiri tu bavicha na Cdm yao ?!. Siyo kuwa ni tatizo la taifa kukosa ustaarabu ktk democracy ?!
Ika huko Gana ambako anapata 55% wao wana siasa za kijinga sawa na tz eti?Aah, now you are talking. Lakini do you know why?
Simple. Ni kwa sababu Senegal, South Africa and others hawana siasa za kijinga kama za hapa kwetu Tanzania, siasa za kutukuza mtu huku tukitambua kabisa kuwa hana sifa hata chembe ya utukufu huo...
Just see this. Mitandao yote inahamasisha eti tupige kura wote kwa Magufuli kwa sababu tu ni Mtanzania na siyo kwa sababu ana sifa..
Huko unakosema hawana muda wa ujinga kama huu...
Tume huru haiombwi inapiganiwa . Kinachopiganiwa unajua matokeo yake. Kama waTz hawajawa tayari acha waendelee kunyanyaswa na wasiowachaguaNyie ndio huwa mnalalamika kwamba hamshindi sababu ya ukosefu wa tume huru, lakini cha ajabu baada ya uchaguzi badala ya kudeal kupata hiyo tume huru mnahangaika na vitu vya kijinga, kama hivi ona huu uzi una coments zaidi ya 600 utafikiri hizo kura zinamuindoa Magu ikulu. Wengine nimeona wanaibua hoja eti Shein anamfunika Magu [emoji23][emoji23][emoji23]yani ni upumbavu mtupu. Lakini mambo ya maana mtaanza kuyakumbuka ikifika mwezi wa 10 mwaka 2025.
Kabisa mkuu!Nilimwambia USSR kadri alivyokuwa anapiga kampeni humu JF ndivyo kadri asilimia za Magufuli zilivyokuwa zinapungua.
Mijitu iliyozoea kula nyama za daima haiwezi kuacha lini mmeshinda uchaguzi nyinyi mbogambogaHawajielewi hawa! Ngoja tuendelee kupiga nao stori ila 2025 wakileta pua zao wanagongwa kama kawaida.
Mkuu hatufahamiani humu.Bila wasimamizi na wakurugenzi kuokoa jahazi Hali ilikuwa mbaya...yako maeneo wasimamizi walilazimika kupiga kura wenyewe kwenye vituo kuijazia ccm...Mkuu!! Acha siasa!!
Nilichoandika ndicho, Lissu anapendwa na watu wa mitandaoni wasiojua kupiga Kura, waongo na wazushi ndio, eti walikuwa wanazidiana Kura 10/ wewe kama Nani mkuu!!
Mkuu!! Ukweli nimecheka Sana aisee!!!😂😂Mkuu hatufahamiani humu.Bila wasimamizi na wakurugenzi kuokoa jahazi Hali ilikuwa mbaya...yako maeneo wasimamizi walilazimika kupiga kura wenyewe kwenye vituo kuijazia ccm...
Mkuu!! Ukweli nimecheka Sana aisee!!!😂😂
Uzalendo kwa mtu asiye na utu unautoa wapi?Wabongo walivyo wa ajabu na walivo na chuki wanaweza wakaamua kuwapigia hao wawili wa mwisho kabisa ili nafasi ya kwanza ya pili na ya tatu zishikwe na watu wa mbali huko...kwa kweli huo sio uzalendo
Mkuu, Kuhusu kushinda Kwa Lissu, Hilo hata yeye anajua kuwa isingeliwezekana, swala sjui la wizi na nini!! Hilo ni hasira Tu za kushindwa, na Kwa kweli hakuna kitu kibaya kama kushindwa!!Amekumbusha mbali?🤣
Endelea kufunika Ado tuachie dikteta wetu tunamjua wenyewe na ukatili wake.Tunamsema vibaya kivipi wakati ubaya wake mwenyewe ndiyo unaomwandama kila aendapo...?
Au hujui kuwa imeandikwa ya kwamba, "....matendo ya mtu huambatana naye...?"
Anyway, here below is the latest voting score sheet as for today the sixth of January, 2021..View attachment 1669796
OhooooUzalendo kwa mtu asiye na utu unautoa wapi?
okUzalendo kwa mtu asiye na utu unautoa wapi?
Hata weye wachekaMkuu!! Ukweli nimecheka Sana aisee!!!😂😂
Ha ha haInatakiwa apate ushindi wa kishindo sio
View attachment 1665873
So unalazimisha tufanane kimtizamo?Sifa zake, uthubutu wake, umahiri wake wa kuongoza, Imani Kali Sana Kwa Mungu wake, zinavuma kote duniani
Ni wivu wa kijinga Kwa mtu yeyote atakayemnyima Kura!!