Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Nyie ndio huwa mnalalamika kwamba hamshindi sababu ya ukosefu wa tume huru, lakini cha ajabu baada ya uchaguzi badala ya kudeal kupata hiyo tume huru mnahangaika na vitu vya kijinga, kama hivi ona huu uzi una coments zaidi ya 600 utafikiri hizo kura zinamuindoa Magu ikulu. Wengine nimeona wanaibua hoja eti Mwinyi anamfunika Magu [emoji23][emoji23][emoji23]yani ni upumbavu mtupu. Lakini mambo ya maana mtaanza kuyakumbuka ikifika mwezi wa 10 mwaka 2025.Kwani kukosekana tume huru kunawaathiri tu bavicha na Cdm yao ?!. Siyo kuwa ni tatizo la taifa kukosa ustaarabu ktk democracy ?!