Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Kwani kukosekana tume huru kunawaathiri tu bavicha na Cdm yao ?!. Siyo kuwa ni tatizo la taifa kukosa ustaarabu ktk democracy ?!
Nyie ndio huwa mnalalamika kwamba hamshindi sababu ya ukosefu wa tume huru, lakini cha ajabu baada ya uchaguzi badala ya kudeal kupata hiyo tume huru mnahangaika na vitu vya kijinga, kama hivi ona huu uzi una coments zaidi ya 600 utafikiri hizo kura zinamuindoa Magu ikulu. Wengine nimeona wanaibua hoja eti Mwinyi anamfunika Magu [emoji23][emoji23][emoji23]yani ni upumbavu mtupu. Lakini mambo ya maana mtaanza kuyakumbuka ikifika mwezi wa 10 mwaka 2025.
 
Aah, now you are talking. Lakini do you know why?

Simple. Ni kwa sababu Senegal, South Africa and others hawana siasa za kijinga kama za hapa kwetu Tanzania, siasa za kutukuza mtu huku tukitambua kabisa kuwa hana sifa hata chembe ya utukufu huo...

Just see this. Mitandao yote inahamasisha eti tupige kura wote kwa Magufuli kwa sababu tu ni Mtanzania na siyo kwa sababu ana sifa..

Huko unakosema hawana muda wa ujinga kama huu...
Ika huko Gana ambako anapata 55% wao wana siasa za kijinga sawa na tz eti?

Pointless kabisa.
 
Nyie ndio huwa mnalalamika kwamba hamshindi sababu ya ukosefu wa tume huru, lakini cha ajabu baada ya uchaguzi badala ya kudeal kupata hiyo tume huru mnahangaika na vitu vya kijinga, kama hivi ona huu uzi una coments zaidi ya 600 utafikiri hizo kura zinamuindoa Magu ikulu. Wengine nimeona wanaibua hoja eti Shein anamfunika Magu [emoji23][emoji23][emoji23]yani ni upumbavu mtupu. Lakini mambo ya maana mtaanza kuyakumbuka ikifika mwezi wa 10 mwaka 2025.
Tume huru haiombwi inapiganiwa . Kinachopiganiwa unajua matokeo yake. Kama waTz hawajawa tayari acha waendelee kunyanyaswa na wasiowachagua
 
Mkuu!! Acha siasa!!
Nilichoandika ndicho, Lissu anapendwa na watu wa mitandaoni wasiojua kupiga Kura, waongo na wazushi ndio, eti walikuwa wanazidiana Kura 10/ wewe kama Nani mkuu!!
Mkuu hatufahamiani humu.Bila wasimamizi na wakurugenzi kuokoa jahazi Hali ilikuwa mbaya...yako maeneo wasimamizi walilazimika kupiga kura wenyewe kwenye vituo kuijazia ccm...
 
Wabongo walivyo wa ajabu na walivo na chuki wanaweza wakaamua kuwapigia hao wawili wa mwisho kabisa ili nafasi ya kwanza ya pili na ya tatu zishikwe na watu wa mbali huko...kwa kweli huo sio uzalendo
 
Amekumbusha mbali?🤣
Mkuu, Kuhusu kushinda Kwa Lissu, Hilo hata yeye anajua kuwa isingeliwezekana, swala sjui la wizi na nini!! Hilo ni hasira Tu za kushindwa, na Kwa kweli hakuna kitu kibaya kama kushindwa!!

Ipo namna ya uandishi wake ulionifanya nicheke!! Na Kwa kweli nimefurahi Sana!!
 
Tunamsema vibaya kivipi wakati ubaya wake mwenyewe ndiyo unaomwandama kila aendapo...?

Au hujui kuwa imeandikwa ya kwamba, "....matendo ya mtu huambatana naye...?"

Anyway, here below is the latest voting score sheet as for today the sixth of January, 2021..View attachment 1669796
Endelea kufunika Ado tuachie dikteta wetu tunamjua wenyewe na ukatili wake.
 
Back
Top Bottom