[emoji23] [emoji23] [emoji23] Uko kwa AmsterdamWaandaaji wa hiyo tuzo ni wapumbavu.
Magufuli hafai hata top 20. The worst dictator.
Labda angewekwa category moja na Kagame, Museveni, na yule wa Burundi ningempigia kura hata kwa kuazima simu za watu, maana hapo ndo anafit
Kwakweli mkuu uwepo wa Magufuli ktk 5 bora kwenye kinyanganyiro hicho, then nahitimisha kuwa Africa hakuna utawala bora.Kwani roli modo wenu Kenyata hayumo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utaumia sana roho. Ndio huyo sasa anaongozaKwakweli mkuu uwepo wa Magufuli ktk 5 bora kwenye kinyanganyiro hicho, then nahitimisha kuwa Africa hakuna utawala bora.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa hiyo Lisu ni mwanamke? Maana ukitaka hadi kufa kwa kumsifiaUnamsifiaje mwanaume mwenzio uku unaleta shombo za buza!?
Sitaki maisha yangu yabadilike ndio maana nimempigia wa Ghana.Basi mkuu mpigie kura wa Ghana, Lisu atakuwa rais na Magu kuwekwa pembeni na maisha yako yatabadirika
Inatakiwa apate ushindi wa kishindo sio
View attachment 1665873
Basi sawa mkuu...endelea kufurahia ushindiSitaki maisha yangu yabadilike ndio maana nimempigia wa Ghana.
Nini kiniumize tena?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utaumia sana roho. Ndio huyo sasa anaongoza
Utabidilisha vipi kama akili yako ndio hii mbovu ya kushinda jf kupiga soga tu
Jk alikuwa kutoka chadema?Yangu yalishakaa sawa toka enzi za JK, napitia hesabu tu jioni Mkuu.
Nimewatumia jamaa kwenye group letu. Nimewaambia tumpigie rais wa Ghana, naona zaidi ya watu 90 kwenye group lenye watu 198 wameniwekea dole. Watu wawili tu ndio wamesema hatumpigii rais wetu, kila mtu kawanyamazia.
Mzee Mdee sio na wenzake 😂Hahaha 100% hapana sababu kuna kina mdee plus18 ila ushindi wa kishindo ni uhakika😂😂
Sio kuwa rais tu, afie madarakani kabisa ila sio kwa kura yangu.emoj
i23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Utoto huu! Hapo ndio Magu hatakuwa rais ama?
Ndiyo,una maagizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] Uko kwa Amsterdam
Jamaniii, msimwite hivyo Halima😎😎😎Mzee Mdee sio na wenzake 😂
Jk alikuwa kutoka chadema?