Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Waandaaji wa hiyo tuzo ni wapumbavu.
Magufuli hafai hata top 20. The worst dictator.
Labda angewekwa category moja na Kagame, Museveni, na yule wa Burundi ningempigia kura hata kwa kuazima simu za watu, maana hapo ndo anafit
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Uko kwa Amsterdam
 
Utabidilisha vipi kama akili yako ndio hii mbovu ya kushinda jf kupiga soga tu

Yangu yalishakaa sawa toka enzi za JK, napitia hesabu tu jioni Mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimewatumia jamaa kwenye group letu. Nimewaambia tumpigie rais wa Ghana, naona zaidi ya watu 90 kwenye group lenye watu 198 wameniwekea dole. Watu wawili tu ndio wamesema hatumpigii rais wetu, kila mtu kawanyamazia.


Huku kwangu ma group 3 watu zaidi ya 500 wote wamepiga kwa John Pombe Magufuli tena wanamwita kipenzi cha waafrika na dunia
 
Weka link tumpatie vote kama kawaida yetu
 
Jk alikuwa kutoka chadema?

Sio aliyenifanya nifanikiwe, nimesema yalikaa toka enzi zake. Labda ww ndio unangojea maisha yako yafanikiwe kupitia rais. Kwa nilipopigia bao mpaka nikakaa sawa, hata ungekuwa utawala wa kijeshi ningetoboa tu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mbowe ni kiongozi bora anakula ruzuku kila uchao
Kwakweli mkuu uwepo wa Magufuli ktk 5 bora kwenye kinyanganyiro hicho, then nahitimisha kuwa Africa hakuna utawala bora.
 
Back
Top Bottom