Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Na mimi nangoja ifunguke, rais wa ghana ana kura yangu.nishampigia kura rais wa ghana,moyo wangu una amani zaidi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nangoja ifunguke, rais wa ghana ana kura yangu.nishampigia kura rais wa ghana,moyo wangu una amani zaidi!!
Yani title imeandika "rais aliye simamia demokrasia.."
Nimempigia kura rais wa ghana ujinga sipendi mimi.VPN inahusu washafanya yao. Si kwa title husika.
"Year 2020 – Political Leadership)
This recognition is open to an African, whose contribution has immensely contributed to deepening democracy and democratic values in the continent. "
...Addo Ghana wapo vizuri democrasia.
Nasema uongo ndugu zangu?
Huyu jiwe alishindanishwa na kipande cha Parachichi kule Kenya na akashindwa vibaya mno sembuse hii anashindanishwa na watu!!Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.
Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Muilize lisu na lowasa bada hao ndio hayo maparachichi unayosemaHuyu jiwe alishindanishwa na kipande cha Parachichi kule Kenya na akashindwa vibaya mno sembuse hii anashindanishwa na watu!!
Waandaaji wa hiyo tuzo ni wapumbavu.
Magufuli hafai hata top 20. The worst dictator.
Labda angewekwa category moja na Kagame, Museveni, na yule wa Burundi ningempigia kura hata kwa kuazima simu za watu, maana hapo ndo anafit
Nenda twitter kigogo@2014 ametoa link waungwana wanampigia Nana wa kule GhanaNipatie hio link mkuu
Au
Tuambie tugoogle nini vije
Hatuwezi kuacha kumtendea haki Rais wetu
Siasa zenu ndizo zinaligawa taifa, jana Magufuli alikuwa anaongoza kwa 95% leo kapitwa hadi trh 8 sijui kama hata 20% anaweza kupata.Muilize lisu na lowasa bada hao ndio hayo maparachichi unayosema
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Acha ujinga wewe simamia ukweli uikwepe kuzimu!! mxyuuuuu
Aiseee naona wanaharakati wa Twitter wamemuangusha sana mzee baba.Kutoka kuongoza 96% hadi sasa 40%View attachment 1666199
Kwangu ata hyo position ya prez wa tz bado nimebaki na mshangao mpk sasa.Kwakweli.