Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

VPN inahusu washafanya yao. Si kwa title husika.
"Year 2020 – Political Leadership)
This recognition is open to an African, whose contribution has immensely contributed to deepening democracy and democratic values in the continent. "
...Addo Ghana wapo vizuri democrasia.
Nasema uongo ndugu zangu?
 
VPN inahusu washafanya yao. Si kwa title husika.
"Year 2020 – Political Leadership)
This recognition is open to an African, whose contribution has immensely contributed to deepening democracy and democratic values in the continent. "
...Addo Ghana wapo vizuri democrasia.
Nasema uongo ndugu zangu?
Nimempigia kura rais wa ghana ujinga sipendi mimi.
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.

Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana


USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Huyu jiwe alishindanishwa na kipande cha Parachichi kule Kenya na akashindwa vibaya mno sembuse hii anashindanishwa na watu!!
 
Mpaka asubuhi mtu atakuwa kakalia mpira ila tume inaweza kukata rufaa kabla ya 08.01.21
 
Waandaaji wa hiyo tuzo ni wapumbavu.
Magufuli hafai hata top 20. The worst dictator.
Labda angewekwa category moja na Kagame, Museveni, na yule wa Burundi ningempigia kura hata kwa kuazima simu za watu, maana hapo ndo anafit

Ni wapuuzi na gazeti lao ni la kipuuzi. Unaeza kuta ni gazeti la mwana Lumumba
 
Muilize lisu na lowasa bada hao ndio hayo maparachichi unayosema

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Siasa zenu ndizo zinaligawa taifa, jana Magufuli alikuwa anaongoza kwa 95% leo kapitwa hadi trh 8 sijui kama hata 20% anaweza kupata.

Na kadri unavyowajibu watu ndivyo kura zake unazipunguza, mwisho utajilaumu kwanini ulianzisha uzi huu.

3B2F0BBC-1717-4555-BBB1-B06430FA1584.jpeg
 
Lissu kapigwa risasi hamna kesi,mbowe kamalizwa kibiashara,wapinzani wamevutwa kijanini kwaahadi zarushwa,lema kakimbia nchi,Ben haonekani,watumishi maisha magumu,biashara zinadorora,matajiri wanakimbia,viongozi wanamashaka,taasisi nyingi hazikohuru,uchaguzi si huru si haki,maamuzi mengi yamtu mmoja,watoto waliobakwa wakapata mimba wafukuzwe shule,tishia kupiga wanawake(mashangazi wa PM), nk nk
Alafu kinafki nimpigie huyumtu kura!? Sijawahi kuwa hayawani kiasi hiko!!!
 
Moyo wangu unauma inakuwaje nataka nipige kura nakuta mtandao umeblokiwa daaah aisee hii ilikuwa kura ya Ghana kabisa hata kwa VPN nitapiga kura
 
Back
Top Bottom