Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Ndio Lisu anakuwa rais?Tupo wengi sana kwenye huo mpango wako
Magu hapo keshawapita hadi South! Huoni kama ni aibu kwenu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Lisu anakuwa rais?Tupo wengi sana kwenye huo mpango wako
Huu ndio ukweliNafkiri yeye huwa hategemei kura za watu huwa anatangazwa tu na Tume yake. Tujiandae kwa sherehe atatangazwa muda si mrefu
Unajua kwamba kwenye uchaguzi huu kwake wamekufa watu 5?Nampigia kura Rais wa Ghana, yule baba ni kiongozi bora sana! Jiwe hapanaaa..
Labda mumleleke Jecha ndiyo mtatoboaNdio Lisu anakuwa rais?
Magu hapo keshawapita hadi South! Huoni kama ni aibu kwenu?
Hiyo taasisi haihongeki
Magu kawabwaga marais wa South na Senegal sasa huoni kama Magu yuko juu sana?Labda mumleleke Jecha ndiyo mtatoboa
Maono ya kuwapeleka watanzania kwenye umasikini wa kutupwaKuna Upigwaji Kura wa Tuzo zinapigwa huko ila nashangaa kila nikichungulia tu nawaona Viongozi wengine na Percentages zao ila Kiongozi wangu nimejitahidi hadi Kuzuumu nijiridhishe kama nae yupo lakini hola. Kwa jinsi Kiongozi wangu wa Tanzania alivyo na Maono, Mchapakazi, Hodari na ameitoa Tanzania pabaya na sasa inaenda Peponi Kimaendeleo naona hawa ALM wanamuonea mno.
Itakuwa labda mtandao wao umekuwa mzito kwa kuwa watu wengi wanautembelea. Endelea kujaribu mkuuWakuu kwema? Kwangu haifunguki, kunani?! Natamani kumpa Kura JPM haraka. Wazalendo Oyee!
Labda muwapeleke NEC ya Mahera wakahesabuUshindi ni lazima!
Duh! Ni chaguo lako mkuu 😅Nangoja link ifunguke nimpigie rais wa Ghana.
NEC ya mahela ndio watasimamia zoezi?Keshapita bila kupingwa kwa kura 99.9
Nimeangalia Twitter kwenye post waliyomtaja Rais Magufuli, dah...kazi ipo. Kwanza ni post yenye comment nyingi kuliko zote walizotuma. Nadhani hata waandaaji watashtukaNa kwa taarifa wapiga kura wengi kwenye hiyo link ni watanzania zaidi ya 90%, hivyo hizo kura hivyo hizo kura ni za watanzania wenyewe.
Kura za maruhani toka mitaa ya LumumbaNEC ya mahela ndio watasimamia zoezi?
Wameondoa kaduara keupe mkuu na kale ka option ka vote pia hakapo...namna ya kuchagua ipo mkuu.
Kabla ya jina la mhusika kuna ka-duara kadogo, una-click hapo kumchagua unayemtaka, then kule chini unabofya "vote"
🤣🤣🤣Huyu ataiba kura hata za online atashinda tu hakuna haja kumpigia.