Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Labda mumleleke Jecha ndiyo mtatoboa
Magu kawabwaga marais wa South na Senegal sasa huoni kama Magu yuko juu sana?

Yani mlivyowajinga mnafikiri mkihamasishana mumpigie yule wa Ghana ndio Magu hawi rais tena?
 
Kuna Upigwaji Kura wa Tuzo zinapigwa huko ila nashangaa kila nikichungulia tu nawaona Viongozi wengine na Percentages zao ila Kiongozi wangu nimejitahidi hadi Kuzuumu nijiridhishe kama nae yupo lakini hola. Kwa jinsi Kiongozi wangu wa Tanzania alivyo na Maono, Mchapakazi, Hodari na ameitoa Tanzania pabaya na sasa inaenda Peponi Kimaendeleo naona hawa ALM wanamuonea mno.
Maono ya kuwapeleka watanzania kwenye umasikini wa kutupwa
 
Hakuna wa kumpigia kura mwehu!
5532890.jpg
0659010.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Na kwa taarifa wapiga kura wengi kwenye hiyo link ni watanzania zaidi ya 90%, hivyo hizo kura hivyo hizo kura ni za watanzania wenyewe.
Nimeangalia Twitter kwenye post waliyomtaja Rais Magufuli, dah...kazi ipo. Kwanza ni post yenye comment nyingi kuliko zote walizotuma. Nadhani hata waandaaji watashtuka
 
Back
Top Bottom