#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Sifungamani na upande wowote kisiasa,nimetoa mawazo yangu kuhusu Hayo. mambo ya awamu ya mitishamba hayanihusu..katoe frustration zako za siasa sehemu nyingine
Ndio maana nimekwambia chanjo inakuja acha wanaotaka watachanjwa, hayo mambo ya gwajima hayajaanza leo kuwa 5G, ndio imeleta covid 19!!msijifanye mna huruma sana na Watz
 
Moja ya hoja za hovyo kabisa. Wewe kama unaogopa kufa kwa Corona ni wewe nenda kachanjwe. Hoja alizotoa Bishop Gwajima zinamashiko, taifa haliwezi kufanyiwa majaribio aisee tumekuwa manyani sisi. Thubutu
 
kachanjwe wewe na familia yako kwani lazima
 
Gwajima ni muongo na mpotoshaji mkubwa ukisikiliza clip yake yote imejaa upotoshaji.

FDA Food and Drug Administration anaita Flag and Food Administration Emergency Vaccine Authorization anasema ni kaorganizaion kadogo wakati hiyo na FDA na CDC hazijatoa authorization wakati ni uongo mkubwa FDA imetoa Emergency Vaccine Authorizstion kwa Pfizer na moderna vaccination ambayo yeye anaita kaorganuzation.

Anasema JJ na Astrazeneca vaccine zinauwa wakati watu 6 million walichanjwa na hiyo chanjo ya Astrazeneca na only 6 people had some problem na mmoja tu ndio alikufa.

Huyu huyu Gwajima alisema uongo kuwa Corona imeletwa na mpinga kristo kupitia 5G technology uongo mkubwa nchi nyingi haxina 5G technology lakini zina Corona.

Mbowe ana akili kubwa sana ndio maana alichanjwa hiyo Astrazeneca Gwajima anaingilia utaalam wa chanjo wakati sio field yake kabisa ni mpotoshaji mkubwa nchi x
Zote hizo 47 Africa nyingine duniani zote duniani ni wajinga yeye ndio mjuaji wakati utafiti lazima upingwe na utafiti sio porojo zake.


Eti utafiti umekwenda haraka sana wakati mRNA ilianza kutafitiwa tokea milipuko ya SARS na MERS virus na kufast track vaccine ni jambo la kujivunia ingechukua miaka 8 mamilioni ya watu wangekufa.

GVT imkemee analeta upotoshaji mkubwa sana kwa wananchi ambao uelewa wao bado mdogo sana kwenye Corona vaccine ujinga ni mzigo mkubwa sana amejidhalilisha sana kuongea uongo bungeni.
 
CHANJO itakusaidia nini?
hivi nyie mngekuwa mnakufa kama wenzenu mngesemaje?
Huko wenzenu Wana chanjo na bado wanakufa.
Mchina akikaa chini akatengeneza kirusi uje ukidhibiti na chanjo zako mshenzi?
Watu wanajua wanachofanya.
MSIKURUPUKE
Wewe na familia yako na mcheza porn Gwajima mnaweza kupuuza. Chnjo ije wanaotaka wachanje.
 
Nadhani askofu alitoa angalizo la kuwa nchi ijiridhishe na hizi chango kabla ya kuruhusu kutumika nchini. We cant be Guinea pigs. Baadhi ya hizi chanjo zimeshaonekana kuleta madhara na hata vifo. Kitaalamu chanjo hufanyiwa tafiti za muda mrefu ili kubaini post effects, ni dhahiri hizi za Covid-19 hazijafanyiwa tafiti za kutosha. Kupata chanjo bado ni hiyari ya mtu lakini Niungane na askofu kuitaka serikali kuwa makini.
 
Spika ndio anampa nafasi ya kupotosha umma
 
Turudi nyuma.
Hapo issue ni katiba,- jinsi alivyopatikana gwajiboy na anayoyaongea ni sawa tu.
 
Moja ya hoja za hovyo kabisa. Wewe kama unaogopa kufa kwa Corona ni wewe nenda kachanjwe. Hoja alizotoa Bishop Gwajima zinamashiko, taifa haliwezi kufanyiwa majaribio aisee tumekuwa manyani sisi. Thubutu
Hivi Mkuu kwa Nini tuogope wakati Baba Askofu Gwajima ana uwezo wa kutufufua tukifa kwa Corona??!!!!!! Mkuu Mimi siwaelewi watu uoga wa Nini? Nakuunga mkono Mkuu Chanjo hazina maana, tukifa kwa Corona Baba Askofu apewe tu taarifa aje kutufufua.
 
Uaskofu aliupata toka kwa nani? These stupid burgers self-proclaimed Bishops must be ignored in their entirety
 
Hivi Mkuu kwa Nini tuogope wakati Baba Askofu Gwajima ana uwezo wa kutufufua tukifa kwa Corona??!!!!!! Mkuu Mimi siwaelewi watu uoga wa Nini? Nakuunga mkono Mkuu Chanjo hazina maana, tukifa kwa Corona Baba Askofu apewe tu taarifa aje kutufufua.
Ameshindwa kumfufua kakake Magu aje atufufue sisi?
 
Moja ya hoja za hovyo kabisa. Wewe kama unaogopa kufa kwa Corona ni wewe nenda kachanjwe. Hoja alizotoa Bishop Gwajima zinamashiko, taifa haliwezi kufanyiwa majaribio aisee tumekuwa manyani sisi. Thubutu
Askofu mfufua wafu Hana credibility ya kuzungumzia Mambo ya afya ya binadamu, aache kuvamia fields za watu, akafufue watu huko kanisani kwake, sisi tutawasilikza madaktari na wataaLam wa afya siyo huyo jambaz la kura.....hovyoooo
 
Kumbe mbowe alichanjwa?? Mwambie akupeleke na wewe ukachanje

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa yako mama Ni mtu wa Dini anayemjua Mungu, hataki hayo Mambo yenu ya dhuluma. Fanyeni kazi za waNanchi ili mkubalike kwenye sanduku la Kura badala ya kutegemea wizi wa Kura na kusaidiwa na polisi/usalama
 
Mwenzio anazungumza Cell Biology, wewe unapiga siasa tupu hapa! Mpinge basi kile alichoeleza kinachohusiana na Cell biology! Amegusia maswala DNA, mRNA n.k
 
Uko sawa na chanjo pia ni biashara ya mabilioni hivyo iwe inafaa au haifai watengenezaji wanao uwezo kufanya kampeni kwa kulipa watu wa kariba mbalimbali wenye kuaminiwa na jamii kufanya ushawishi kufanikisha jambo lao hizi ni rasha rasha mvua inakuja usije shangaa vifo vya ajabu vikaanza kutokea Kuitia hofu jamii ili kusukuma ajenda yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…